Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kwa sasa muelekeo wa soko la Utalii nchini umelenga kupata watalii wengi kutoka nchini China na kama Wizara inayoshugulikia masuala ya Utalii, suala la kujifunza lugha ya kichina kwa baadhi ya watumishi na wadau wa utalii ili kuteka soko...
Mbona hujamssema yule mtanzania wa kiwanda cha bora ambae mpaka Mh Rais akachukua Document zake mbona kaongea vizuri kuna yule mzee wa Tanga mwenye miaka 77 mbona kaongea vizuri ACHA BIAS
TUELEWANE!, AHADI YANGU YA KUBORESHA MASLAHI YA WAFANYAKAZI IKIWEMO KUWAONGEZEA MISHAHARA IKO PALE PALE!, TUJIFUNZE KUWEKA AKIBA YA MANENO Evarist Chahali hayo uliyoyabainisha na Mengineyo yote ni MUHIMU!
Mzee Baba pole bana kumbe povu lote hili ni kwa sababu sikuhizi Hupati tena Tender zile za Serikali!!😂😂 Vigezo, Sifa na Masharti kuzingatiwa!,Maisha ya Fiesta ya kipindi cha JK siyo kwa JPM!, Mtalimia MENO! 🤣🤣🤣🤣
Inavyoonekana una akili ndogo sana. Yaan shida ya maji ya miaka MAGUFULI angetatua kwa siku moja. uelewa wako ni mdogo na ni mnafiki pia. Kwa hiyo MAGUFULI ni kama YESU alitakiwa aseme naamuru mabomba yatoe maji kyela na maji yangetoka. Unajua kama waziri MWAKYEMBE hajamueleza tatizo hilo...
Tatizo letu tunapenda kujifanya wajuaji wakati hatuna tunalojua hapo mh. Rais amewakumbusha Nida (wizara ya mambo ya ndani ya nchi) kukamilisha kwa wakati utoaji wa vitambulisho vya Taifa ili wananchi wote wenye sifa ya kuwa navyo wawe navyo
Ndoto za mchana, aondoke kwa lipi sasa kwa mfano, we ndio unapaswa kuondoka nchini kwetu urudi kwenu inaonekana kabisa we si raia wa nchi ni mnyonyaji unadandia gari kwa mbele bila kuwa na facts.
Another fisadi uliyezibiwa mianya ya upigaji. Eti asigombee 2020. Are you serious kweli? mzee baba imekula kwako utatubu sana hamna cha maana ulichoongea hapo JPM unaye bado mpaka 2025 so jiandae kisaikolojia. Fanya kazi hamna tena pesa za magumashi.
Jibu lako ni rahisi sana kipindi cha jk mambo mengi yalikuwa ya hewa sana na ndio maana watu walimchoka na wakataka rais mkali ili aweze kuweka mambo sawa,sasa kaingia mzee wetu hodari kabisa asiyemuogopa yeyote anasahihisha makosa yote yaliyokuwepo.Na ukitazama kwa umakini sana utakuta hata CAG...
Jibu lako ni rahisi sana kipindi cha jk mambo mengi yalikuwa ya hewa sana na ndio maana watu walimchoka na wakataka rais mkali ili aweze kuweka mambo sawa,sasa kaingia mzee wetu hodari kabisa asiyemuogopa yeyote anasahihisha makosa yote yaliyokuwepo.Na ukitazama kwa umakini sana utakuta hata CAG...
Hatukatai utawala bora na demokrasia vikawa vimojawapo kwenye ukuaji wa uchumi lakini sio sana.Unataka watu walambwe miguu ili walipe kodi bila kutumia nguvu unadhani inawezekana,wafanyabiashara wanaingiza biashara zao kimagendo hawalipi kodi na wengine hata kudanganya vipato vyao.Wanachukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.