Na majivuno yote hayo, mpaka leo Magufuli hajavunja record ya GDP iliyoachwa na Kikwete

Aweze wapi?? GDP inapandishwa kwa maneno?? Tena maneno machafu machafu ya kuogopesha watu saa zote??? Atazisikia hizo records nchi za wenzetu na kwa Rais ajae.
 
Ni kushindwa kuelewa uchumi unavyofanya kazi ndo unaweza comment namna hiyo .ujue awamu hii pesa nyingi zinaingizwa kwenye mega structures haiwezi kuwa sawa na jk miradi kama SGR return yake si ya leo na uchumi wetu unasacrifice portion kubwa ambayo ingekuwa ina share kubwa katika active economy. Si SGR pekee kuna stiglers na miundombinu kibao ikianza kutema boost yake ni for good ila ujue economy ya nchi inagive up portion kubwa . Wakati wa jk pesa zilijuwa zinamwagika kila mahala zilifanya tufikie hizo percentage juzi nilimsikia dakitari kayoza azam tv hakuweza ku analyse kwa nini uchumi wetu u score 4%

Tupisheni huko. Tunakufa njaa huku nyie mnaongelea mega structures! Huku report ya CAG inasema tofauti!
 
Mkuu Kwenye Gas sikuungi Mkono kabisa,Either wewe ni Mdau mfaidikaji na gesi,
Hii ni HOJA DHAIFU kupita maelezo!!!
1.Gesi ni ghali kuliko Umeme wa maji
2.Gesi inaisha lakini maji hayaishi
3.Maji ni simple sana tofauti na Gesi
4.Gesi mpaka uuziwe na wazungu vitalu...
Yaani Magufuli go go with Stiegliers gorge tuu...
Mkuu na juzi CRDB wametoa Dola million 786 hivi Karibia 1.5 Trillions kwa ajili ya Stiegliers...sasa hivi ujenzi umepamba moto yaani moto unaounguza...
Gas inaisha lakini maji hayaishi!!! You're very funny aisee!!! Kwani wakati serikali ilivyokuwa inahangaika kutafuta vyanzo vingine vya umeme hapakuwa na umeme wa maji?! Wakati tunategemea umeme wa diesel kwani KIdatu haikuwapo? Nyumba ya Mungu haikuwepo? Kiansi haikuwepo? Mtera haikuwepo?! Kama maji hayaishi, ni kwanini basi mabwawa yote hayo yalishindwa kukidhi mahitaji ya umeme na tukalazimika kutafuta vyanzo mbadala?!

Gas mpaka uuziwe na Wazungu... nikuulize maswali yafuatayo:-

1. Unafahamu lolote kuhusu Production Sharing Agreement ambayo ilipitishwa na Bunge mwaka 2015 ambayo kutokana na sababu za kisiasa tu CHADEMA walisusa kuingia bungeni?
2. Uliwahi kusoma Sheria ya Mafuta na Gas?
3. Ulipata kusoma Sheria ya Matumizi ya Mafuta na Gas?!

Umekaa kiushabiki zaidi na kwahiyo I doubt ikiwa unafahamu lolote katika hayo! Badala ya kuongea kishabiki, ningekushauri utafute FACTS! Na FACT ya kwanza, kwa mujibu wa sheria na sera, vitalu VYOTE vya Mafuta na Gas ni mali ya TPDC! Kampuni za mafuta na gas zilitakiwa kuingia mkataba na TPDC ambae ndie mmiliki wa vitalu! Kama ambavyo wao ndio waliingia COST ya kufanya explorartion na POSSIBLE LOSS in case no discoveries kuwa juu yao, na wakati wa production ingekuwa ndiyo hivyo hivyo!!!

Nimeeleza mara nyingi sana kuhusu hili suala hadi sasa naona uvivu kulirudia lakini itoshe tu kusema kwamba you've little to no knowledge kuhusu gas sector!!

Kwamba Gas ni expensive kulinganisha na maji... ninachotaka kukueleza ni kwamba, the cheapest energy source ni wind and solar energy and not hydro-power! So, kama concern ni unafuu basi JPM alitakiwa ku-invest kwenye solar na wind power!

WHY Gas?!

Kwa sababu gas ndio kila kitu dunia hii!!! NATO- Europe Wing inaufyata kwa adui wao Urusi kutokana na gas iliyonayo Urusi ambayo nchi nyingi za Europe wanaitegemea!!!

Wakati maji yataishia kutoa umeme peke yake, gas inazalisha umeme, nishati ya kupikia, nishati ya kuendeshea mitambo kama vile ya viwandani na magari, gas inatoa malighafi inayoweza kutumika kwenye uzalishaji wa bidhaa zingine n.k bila kusahau ajira!!!

Kwenye uchumi kuna kitu tunaita economic multiple impact! Economic Multiple Impact ya return ya Stigler's haitafika hata 25% ya investment impact ya kwenye gas sector!!!

Maji ni source ya umeme lakini gas ni source ya uchumi!!!

Kuna siku TANESCO walitopa ripoti ambayo, mosi ilinitisha kweli kweli lakini baadae nikaja kuhuzunika! Sehemu ya taarifa ile inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi ambalo waliandika:-
Alisema mahitaji ya umeme mkoani humo ni megawati 75 wakati uwezo wa kituo chao cha kusambaza umeme ni megawati 120, hali inayokifanya kiwe na ziada ya megawati 50.
Hii taarifa watu aina yako waliichukulia simple sana lakini kwa mtu anayeuangalia uchumi kwa mapana yake haikuwa taarifa mzuri!

Mosi, yaani moja ya mikoa mikubwa kabisa Tanzania ambayo ina mji maarufu next to Dar es salaam lakini bado hawawezi ku-consume 120 Megawatt of electricity! Yaani Mkoa wa Arusha ambao unaonekana ni moja ya mikoa yenye maendeleo makubwa nchini, hadi February mwaka huu uchumi wake ulikuwa una-consume ONLY 75MW of electricity!

Kama Arusha hali ndiyo ipo hivyo, what about Kigoma, Iringa, Lindi, Mtwara, Morogoro, you name it!!!

Leo hii serikali inataka kuzalisha zaidi ya 2000 MW za umeme! Je, ina mipango ya kiuchumi ya kuweza ku-consume hizo 2000+ MW za umeme ikiwa mkoa kama Arusha tu unashindwa ku-utilize hata 200MW!

Oh! Nilisahau! Sababu ya kujengwa bomba la gas kutoka Mtwara to Dar ni kwa sababu gas ile ilikuwa na uwezo wa kuzalisha umeme ambao ni maradufu ya umeme unaohitajika Mtwara na Lindi inclussive! By the time, mikoa yote miwili ilikuwa inashindwa ku-utilize ONLY 20MW zilizokuwa zinazalishwa!!!

Huo ndio uchumi wa Tanzania ambao unataka kuongezewa 2000 MW! Sina tatizo kwenye kuongeza hizo 2000MW, the issue is: serikali imeweka mazingira gani ya kiuchumi kuweza ku-utilize hizo 2000MW?!

I know people lile you mtakimbilia kusema umeme wa ziada utauzwa nje ya nchi! Kama jibu lako ndilo hilo, nachotaka kusema hata umeme wa gas ungeweza kuuzwa nje ya nchi wakati huo huo taifa likipata mapato sio tu yanayotokana na mauzo ya umeme bali pia mauzo ya gas ndani na nje ya nchi, ajira kwenye gas industry, byproducts ambazo zinaweza ku-stimulate other industrial sectors, na mengineyo!

Na hapa nimalize tu kwa kusema kwamba, sijawahi kusikia nchi hata moja duniani iliyowahi kuendelea kwa kuuza umeme mataifa ya nje bali kuna nchi kibao ambao mambo yao yako njema kwa ajili ya gas! Na wakati umeme utaishia tu kuwauzia majirani zako, gas unaweza kwenda kuiuza hadi Alaska!

Open up your eyes!!!
 
Ni kushindwa kuelewa uchumi unavyofanya kazi ndo unaweza comment namna hiyo .ujue awamu hii pesa nyingi zinaingizwa kwenye mega structures haiwezi kuwa sawa na jk miradi kama SGR return yake si ya leo na uchumi wetu unasacrifice portion kubwa ambayo ingekuwa ina share kubwa katika active economy. Si SGR pekee kuna stiglers na miundombinu kibao ikianza kutema boost yake ni for good ila ujue economy ya nchi inagive up portion kubwa . Wakati wa jk pesa zilijuwa zinamwagika kila mahala zilifanya tufikie hizo percentage juzi nilimsikia dakitari kayoza azam tv hakuweza ku analyse kwa nini uchumi wetu u score 4%
Hebu niambie ile gas iliyotuletea shida kule kusini imetusaidia nini kwenye uchumi wetu hadi sasa?
 
Kwa mikopo mikubwa sana ndo , raisi aliyeinflate deni la taifa kwa kiasi kikibwa

Acha Uongo, kati ya JK na awamu yetu hii ya wazalendo nani ameinflate deni la taifa.. Awamu ndio kwanza mwaka wa nne lakini lilipo ni balaa...
 
Demokrasia na utawala bora mara nyingi huwa chachu ya ukuaji uchumi na maendeleo katika mataifa mengi. Unapokuwa na kiongozi au mtawala wa nchi asiyejali wala kuheshimu misingi ya demokrasia na utawala bora, hata ukuaji wa uchumi huporomoka na pia kudumaza maendeleo yaliyofikiwa na nchi husika. Ukatili, roho mbaya, ufisadi na kutojali wala kuheshimu raia wako ni moja ya chanzo kikuu kinachoweza kuangusha uchumi wa taifa lolote.
Hatukatai utawala bora na demokrasia vikawa vimojawapo kwenye ukuaji wa uchumi lakini sio sana.Unataka watu walambwe miguu ili walipe kodi bila kutumia nguvu unadhani inawezekana,wafanyabiashara wanaingiza biashara zao kimagendo hawalipi kodi na wengine hata kudanganya vipato vyao.Wanachukua mishahara hewa,elimu hewa. Watu wanaphd hewa unadhani watafanya uchumi ukue,tambua huo utakuwa uchumi hewa uliokua.Sasa anapokuja kiongozi anayetumia nguvu ili hayo mambo yasikuwepo watu mnasema hakuna demokrasia,utawala wake ni wakimabavu kumbe yeye ndio anaiweka nchi katika hali ya ukweli na sio wa kihewahewa tu.Acha tupigike tu lakini matumizi ya kodi zetu tunaziona huyo anayesema uchumi unashuka ataendelea kuangalia tu hiyo statistics yake na wengine tutaangalia statistic yetu ya maendeleo.Hapa kazi tu.
 
Mwanzoni, Rais Magufuli alivyokuwa ameingia madarakani, alijitapa sana na statistics za Ukuaji wa uchumi. Kila aliposimama jukwaani lazima alizungumzia kuwa Tanzania uchumi unakuwa kwa 7.0 to 7.1.

Leo nimepambana na data zinazoonesha ukuaji wa uchumi wa Tanzania toka 2007 hadi 2017. Inaonesha mwaka 2007 Tanzania ilivunja record kwa kukuza uchumi kwa 8.5%

Na mwaka 2011 ( baada ya uchaguzi), uchumi ulikuwa tena kwa kasi ya ajabu hadi 7.9%. Kuna miezi mitatu uchumi ulikuwa had 9.0%.

Uchumi kushuka sana ilikuwa mwisho ni 5.1.

Toka Magufuli aingie hajawai kuzidi 7.1%. Toka mwaka jana uchumi upo chini ya 6.0%. IMF nao wasema utakuwa chini ya 4.1%.

Hivi JK aliwezaje haya na hakujitamba? Kwann JK aliweza haya yote na hakuimbiwa ngonjera TBC kila kipindi cha kumsifu? Kwann JK alifanya vizuri hivi na hatukusikia akijigamba?

Popote ulipo JK Mungu akubariki sana. Ulituacha pazuri ila ulituachia mvurugaji. Sasa hivi hafikii hata nusu ya kasi yako ya ukuzaji wa uchumi.

Huu ni muda wa watanzania kutafakari na kuchukua hatua. View attachment 1074549

Sent using Jamii Forums mobile app
JK ni kiongozi na alizaliwa kwenye familia ya uongozi ndio maana anaijua siasa vilivyo
 
Jibu lako ni rahisi sana kipindi cha jk mambo mengi yalikuwa ya hewa sana na ndio maana watu walimchoka na wakataka rais mkali ili aweze kuweka mambo sawa,sasa kaingia mzee wetu hodari kabisa asiyemuogopa yeyote anasahihisha makosa yote yaliyokuwepo.Na ukitazama kwa umakini sana utakuta hata CAG alishiriki kulidanganya taifa kuweka data zake za hewa na kumpa kazi mzee wetu kwa kipindi hiki anachotaka kuleta maendeleo ya nchi yetu iwe kama nchi zilizoendelea.Unadhani nchi inayotaka kuendelea uchumi wake utakuwa kwa haraka?utakuwa taratibu sana kwa vile pande mbili zinakimbizana nikiimaanisha maendeleo na uchumi.Utakuwa umeelewa sasa.piga kazi umsaidie mzee magufuli kukuza uchumi na kuleta maendeleo.Hapa kazi tuuuu.;
 
Mtegemee 4% na chini yake maneno ni mengi lakini nxhi integemea madeni na mikopo lukuki, ndiyo mjue kuchagua tofauti ya mchele na pumba
 
Kuingiza bid
Hatukatai utawala bora na demokrasia vikawa vimojawapo kwenye ukuaji wa uchumi lakini sio sana.Unataka watu walambwe miguu ili walipe kodi bila kutumia nguvu unadhani inawezekana,wafanyabiashara wanaingiza biashara zao kimagendo hawalipi kodi na wengine hata kudanganya vipato vyao.Wanachukua mishahara hewa,elimu hewa. Watu wanaphd hewa unadhani watafanya uchumi ukue,tambua huo utakuwa uchumi hewa uliokua.Sasa anapokuja kiongozi anayetumia nguvu ili hayo mambo yasikuwepo watu mnasema hakuna demokrasia,utawala wake ni wakimabavu kumbe yeye ndio anaiweka nchi katika hali ya ukweli na sio wa kihewahewa tu.Acha tupigike tu lakini matumizi ya kodi zetu tunaziona huyo anayesema uchumi unashuka ataendelea kuangalia tu hiyo statistics yake na wengine tutaangalia statistic yetu ya maendeleo.Hapa kazi tu.
kuingiza bidhaaa bila kulipa kodi sio democracy ni uhuni na ujangili, wala kutokulipa kodi sio zao la democracy hata kidogo ni uhuni tu, angalia nchi ambazo democracy ipo juu ndio nchi wanalipa kodi vizuri na wameendelea. Linganisha na nchi ambazo democracy inaminywa ndio kuna ukwepaji wa kodi mkubwa, biashara haramu na hakuna maendeleo.
Democracy hujenga taifa lenye jamii iliyostaarabika na inayojitambua, democracy hujenga jamii yenye uzalendo na uelewa ila uminyaji wa democracy hujenga taifa la watu waasi.
 
Hatukatai utawala bora na demokrasia vikawa vimojawapo kwenye ukuaji wa uchumi lakini sio sana.Unataka watu walambwe miguu ili walipe kodi bila kutumia nguvu unadhani inawezekana,wafanyabiashara wanaingiza biashara zao kimagendo hawalipi kodi na wengine hata kudanganya vipato vyao.Wanachukua mishahara hewa,elimu hewa. Watu wanaphd hewa unadhani watafanya uchumi ukue,tambua huo utakuwa uchumi hewa uliokua.Sasa anapokuja kiongozi anayetumia nguvu ili hayo mambo yasikuwepo watu mnasema hakuna demokrasia,utawala wake ni wakimabavu kumbe yeye ndio anaiweka nchi katika hali ya ukweli na sio wa kihewahewa tu.Acha tupigike tu lakini matumizi ya kodi zetu tunaziona huyo anayesema uchumi unashuka ataendelea kuangalia tu hiyo statistics yake na wengine tutaangalia statistic yetu ya maendeleo.Hapa kazi tu.
[/QUOTE
Nchi zenye viongozi tough africa ndo zinazosonga.mwafrica akipewa democrasia kama sawa na mzungu atakutia vidole usoni na ndo tunayoyaona
 
Hongera mlamba miguu
Hatukatai utawala bora na demokrasia vikawa vimojawapo kwenye ukuaji wa uchumi lakini sio sana.Unataka watu walambwe miguu ili walipe kodi bila kutumia nguvu unadhani inawezekana,wafanyabiashara wanaingiza biashara zao kimagendo hawalipi kodi na wengine hata kudanganya vipato vyao.Wanachukua mishahara hewa,elimu hewa. Watu wanaphd hewa unadhani watafanya uchumi ukue,tambua huo utakuwa uchumi hewa uliokua.Sasa anapokuja kiongozi anayetumia nguvu ili hayo mambo yasikuwepo watu mnasema hakuna demokrasia,utawala wake ni wakimabavu kumbe yeye ndio anaiweka nchi katika hali ya ukweli na sio wa kihewahewa tu.Acha tupigike tu lakini matumizi ya kodi zetu tunaziona huyo anayesema uchumi unashuka ataendelea kuangalia tu hiyo statistics yake na wengine tutaangalia statistic yetu ya maendeleo.Hapa kazi tu.
 
Jibu lako ni rahisi sana kipindi cha jk mambo mengi yalikuwa ya hewa sana na ndio maana watu walimchoka na wakataka rais mkali ili aweze kuweka mambo sawa,sasa kaingia mzee wetu hodari kabisa asiyemuogopa yeyote anasahihisha makosa yote yaliyokuwepo.Na ukitazama kwa umakini sana utakuta hata CAG alishiriki kulidanganya taifa kuweka data zake za hewa na kumpa kazi mzee wetu kwa kipindi hiki anachotaka kuleta maendeleo ya nchi yetu iwe kama nchi zilizoendelea.Unadhani nchi inayotaka kuendelea uchumi wake utakuwa kwa haraka?utakuwa taratibu sana kwa vile pande mbili zinakimbizana nikiimaanisha maendeleo na uchumi.Utakuwa umeelewa sasa.piga kazi umsaidie mzee magufuli kukuza uchumi na kuleta maendeleo.Hapa kazi tuuuu.;
Unashangaa JK aliyekaa miaka 10 kuchokwa wakati Magufuli alishachokwa hata kabla mwaka hajamaliza!!1

Walamba viatu walikuwa wakiambiwa uhalisia ilikuwa utawasikia "mlizoea kuishi kwa madili" kama namna ya kushindwa kujenga hoja!!!

Uzuri ni kwamba, walamba viatu hawa ni miongoni mwa watu wenye maisha magumu kweli kweli lakini failure yao wanadhani imesababishwa na wale wanaoamini walizoea kuishi kwa madili kumbe ni failure iliyotokana na fikra zao za kimaskini kama za Magufuli mwenyewe, kwamba kila aliyepatia kwenye maisha basi ni mwizi... wtf!!

Btw, huyo Magufuli ni mambo yapi aliyoweka sawa?! Hivi kuna mtu anayeutumikisha ubongo wake sawa sawa anayeamini kwamba ameweka mambo sawa?! Economic growth ipo pale pale, na forecast ya IMF inaonesha mwaka huu utapanda kwa 4%... kiwango ambacho hakijapata kutokea over the past 15 years!!

Kila anayetumia ubongo wake sawa sawa anafahamu rushwa mbaya kabisa kwa maenedeleo ya nchi yoyote ni grand corruption ambayo agents wa grand corruption ni non-government officials kwa upande mmoja na top government officials including high profile politicians kwa upande mwingine! Huyo unayesema anaweka mambo sawa unaweza kutuambia ni high profile politician yupi aliyewahi kumfikisha mahakamani kwa tuhuma za ufisadi zaidi ya ku-deal na akina Manji?!!

Listen to yourself! Yaani CAG alishiriki kulidanganya taifa kwa kuweka data zake za hewa?! Data zake zipi?! Ina maana ofisi ya CAG inahusika na kukusanya data?!

Unahitimisha kwa hoja ya uchumi... in short, hujui lolote kuhusu uchumi!! Hujui lolote kwa sababu mtu anayejua uchumi hawezi kuunga mkono mikakati ya hovyo hovyo kama ya Magufuli! Miaka 3 imeshapita... anahitaji miaka mingine mingapi ili hatimae hayo maendeleo yaonekane? Btw, nchi ni taasisi... kama issue ni rushwa, kuna taasisi maalumu kwa ajili ya kupambana na rushwa! Kama issue ni ufisadi, kuna taaisisi zinazofanya hiyo kazi! Kuna taasisi zinazohusika na maendeleo ya nyanja tofauti tofauti!

Sasa kwanini basi suala la kupambana na rushwa ndio liwe sababu la kudumaza maeneo mengine wakati kila taasisi inafanya kazi yake peke yake?! Kwanini wizara ya elimu ishindwa kuwa na walimu wengi wa sayansi kwa sababu tu Magu anapambana na ufisadi?!

Acheni porojo zenu... mwambieni Magufuli arudishe Wakala wa Ndege za Serikali wizara ya uchukuzi ili ukaguzi wa ununuzi wa ndege ufanyike!!
 
Nchi zenye viongozi tough africa ndo zinazosonga.mwafrica akipewa democrasia kama sawa na mzungu atakutia vidole usoni na ndo tunayoyaona
Unaweza kutaja mfano wa hizo nchi zenye viongozi tough Afrika?!

NB: Ni matumaini yangu utanitajia nchi ambazo viongozi wake hawafumbii macho ufisadi; iwe umefanywa na wafanyabiashara wazito, makatibu wakuu, mawaziri na watu wengine wanene kama hao!!

Bila shaka unafahamu Magufuli hawezi kuingia kwenye hilo kundi kwa sababu kila mwenye akili timamu anafahamu hajawahi kumgusa high profile politician hata mmoja wakati hii nchi ndo imeliwa sana na hao watu!!! Hata anapowaongelea, anaogopa hata kuwataja majina; zaidi tu "mara oh, waziri wa awamu ya 4 aliyenunua kiwanda cha korosho, mara oh, walikula bilioni 20 kule Lindi!" Kama Magufuli nae ni tough basi awe na angalau jeuri hata ya kuwataja hadharani let alone kuwafikisha korokoroni!!
 
Hii ni HOJA DHAIFU kupita maelezo!!!
Gas inaisha lakini maji hayaishi!!! You're very funny aisee!!! Kwani wakati serikali ilivyokuwa inahangaika kutafuta vyanzo vingine vya umeme hapakuwa na umeme wa maji?! Wakati tunategemea umeme wa diesel kwani KIdatu haikuwapo? Nyumba ya Mungu haikuwepo? Kiansi haikuwepo? Mtera haikuwepo?! Kama maji hayaishi, ni kwanini basi mabwawa yote hayo yalishindwa kukidhi mahitaji ya umeme na tukalazimika kutafuta vyanzo mbadala?!

Gas mpaka uuziwe na Wazungu... nikuulize maswali yafuatayo:-

1. Unafahamu lolote kuhusu Production Sharing Agreement ambayo ilipitishwa na Bunge mwaka 2015 ambayo kutokana na sababu za kisiasa tu CHADEMA walisusa kuingia bungeni?
2. Uliwahi kusoma Sheria ya Mafuta na Gas?
3. Ulipata kusoma Sheria ya Matumizi ya Mafuta na Gas?!

Umekaa kiushabiki zaidi na kwahiyo I doubt ikiwa unafahamu lolote katika hayo! Badala ya kuongea kishabiki, ningekushauri utafute FACTS! Na FACT ya kwanza, kwa mujibu wa sheria na sera, vitalu VYOTE vya Mafuta na Gas ni mali ya TPDC! Kampuni za mafuta na gas zilitakiwa kuingia mkataba na TPDC ambae ndie mmiliki wa vitalu! Kama ambavyo wao ndio waliingia COST ya kufanya explorartion na POSSIBLE LOSS in case no discoveries kuwa juu yao, na wakati wa production ingekuwa ndiyo hivyo hivyo!!!

Nimeeleza mara nyingi sana kuhusu hili suala hadi sasa naona uvivu kulirudia lakini itoshe tu kusema kwamba you've little to no knowledge kuhusu gas sector!!

Kwamba Gas ni expensive kulinganisha na maji... ninachotaka kukueleza ni kwamba, the cheapest energy source ni wind and solar energy and not hydro-power! So, kama concern ni unafuu basi JPM alitakiwa ku-invest kwenye solar na wind power!

WHY Gas?!

Kwa sababu gas ndio kila kitu dunia hii!!! NATO- Europe Wing inaufyata kwa adui wao Urusi kutokana na gas iliyonayo Urusi ambayo nchi nyingi za Europe wanaitegemea!!!

Wakati maji yataishia kutoa umeme peke yake, gas inazalisha umeme, nishati ya kupikia, nishati ya kuendeshea mitambo kama vile ya viwandani na magari, gas inatoa malighafi inayoweza kutumika kwenye uzalishaji wa bidhaa zingine n.k bila kusahau ajira!!!

Kwenye uchumi kuna kitu tunaita economic multiple impact! Economic Multiple Impact ya return ya Stigler's haitafika hata 25% ya investment impact ya kwenye gas sector!!!

Maji ni source ya umeme lakini gas ni source ya uchumi!!!

Kuna siku TANESCO walitopa ripoti ambayo, mosi ilinitisha kweli kweli lakini baadae nikaja kuhuzunika! Sehemu ya taarifa ile inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi ambalo waliandika:-Hii taarifa watu aina yako waliichukulia simple sana lakini kwa mtu anayeuangalia uchumi kwa mapana yake haikuwa taarifa mzuri!

Mosi, yaani moja ya mikoa mikubwa kabisa Tanzania ambayo ina mji maarufu next to Dar es salaam lakini bado hawawezi ku-consume 120 Megawatt of electricity! Yaani Mkoa wa Arusha ambao unaonekana ni moja ya mikoa yenye maendeleo makubwa nchini, hadi February mwaka huu uchumi wake ulikuwa una-consume ONLY 75MW of electricity!

Kama Arusha hali ndiyo ipo hivyo, what about Kigoma, Iringa, Lindi, Mtwara, Morogoro, you name it!!!

Leo hii serikali inataka kuzalisha zaidi ya 2000 MW za umeme! Je, ina mipango ya kiuchumi ya kuweza ku-consume hizo 2000+ MW za umeme ikiwa mkoa kama Arusha tu unashindwa ku-utilize hata 200MW!

Oh! Nilisahau! Sababu ya kujengwa bomba la gas kutoka Mtwara to Dar ni kwa sababu gas ile ilikuwa na uwezo wa kuzalisha umeme ambao ni maradufu ya umeme unaohitajika Mtwara na Lindi inclussive! By the time, mikoa yote miwili ilikuwa inashindwa ku-utilize ONLY 20MW zilizokuwa zinazalishwa!!!

Huo ndio uchumi wa Tanzania ambao unataka kuongezewa 2000 MW! Sina tatizo kwenye kuongeza hizo 2000MW, the issue is: serikali imeweka mazingira gani ya kiuchumi kuweza ku-utilize hizo 2000MW?!

I know people lile you mtakimbilia kusema umeme wa ziada utauzwa nje ya nchi! Kama jibu lako ndilo hilo, nachotaka kusema hata umeme wa gas ungeweza kuuzwa nje ya nchi wakati huo huo taifa likipata mapato sio tu yanayotokana na mauzo ya umeme bali pia mauzo ya gas ndani na nje ya nchi, ajira kwenye gas industry, byproducts ambazo zinaweza ku-stimulate other industrial sectors, na mengineyo!

Na hapa nimalize tu kwa kusema kwamba, sijawahi kusikia nchi hata moja duniani iliyowahi kuendelea kwa kuuza umeme mataifa ya nje bali kuna nchi kibao ambao mambo yao yako njema kwa ajili ya gas! Na wakati umeme utaishia tu kuwauzia majirani zako, gas unaweza kwenda kuiuza hadi Alaska!

Open up your eyes!!!
Wewe utakuwa umesomea mambo ya gas au unafanya kwenye gas humuangalii mwananchi wa kawaida kabisa.
Umeme wa gesi ni ghali kuliko maji,Dr.Magufuli go go go go go
Gesi iendelee kuwepo tuu kama altenative fuel Mkuu...
Tunalinganisha Umeme wa Gas na maji tuu vitu viwili ndio tunabishania...wewe umekimbilia sijui wind,solar...
hayo ma turbine ya kinyerezi na ubungo yawashwe kwa wakati fulani tuu tutumie maji,hata Ujerumani,USA wameendelea walianzia na umeme wa Hydro,
Say No to Gas.
tutauza na nchi ya nje...lakini soko la ndani bado linahitaji sana sana umeme,uwekezaji mwingi umeshindwa kuendelea kwasababu ya nishati kuwa juu.
Ninachompendea Rais Dr.John Pombe Magufuli huwa harudi nyuma akiamua kitu....naona wewe mwenyewe umeona anasonga mbele tuu,Stiegliers gorge hiyooo...Gas yenyewe tunanunua...Magufuli PhD.go go tena hongera juzi umepata hela 784USD MILLION,Ngoma itakamilika soon mkuu after 2 yrs tuu.
 
Ona sasa unavyohangaika! Awali ulisema nitakuwa mnufaika kwenye sekta ya gas, na sasa umebadilika na kudai nitakuwa nimesoma mambo ya gas au nafanya kazi kwenye sekta ya gas! Yaani akili yako ipo kule kule ambayo inathibitisha jambo moja tu: WEWE NI MBINAFSI ambae unatetea kile tu chenye maslahi kwako!!

FYI, nimesoma BSc. Agric Economics & Agribusiness na digrii moja IMENITOSHA! Kwamba eti nafanya kazi kwenye sekta ya gas am sorry to disappoint you kwamba sifanyi kazi ya mtu yeyote na hata senti 5 inayotokana na biashara ya gas sijawahi kuionja maishani mwangu!

Watu hapa hatuzungumzii ushabiki au mahaba yetu binafsi bali tunazungumzia masuala yenye maslahi kwa taifa!!

Wewe umekalia ushabiki wa kisiasa na ndio maana kila post eti "Magufuli goo! Goo!" Unless kama ni ndugu yako na kwahiyo utafaidika kutokana na undugu wenu lakini kama nawe ni Mtanzania tu wa kawaida kama wengine basi utaishia kusema Magufuli Go go huku mkiumia kama ambavyo wenzako wamekuwa wakisema go go tangu 2016 na hadi leo hata ajira hawana!

Watapata vipi ajira ikiwa 1 Trillion inawekezwa kwenye invetiment isiyoweza kutoa direct employment hata 100 huku return to investment ikiwa ni negative?! Watatoa wapi ajira ikiwa takribani Trilioni 8 inataka kuwekezwa kwenye uzalishaji wa umeme ambao haujaandaliwa mazingira ya ku-utlize kwake huku tukiambiwa mkoa mkubwa kama Arusha wanashindwa ku-utilize hata 150MW?!

So, keep singing Magufuli go go huku mnaendelea kusaga meno!!

Kwamba eti tunalinganisha umeme wa maji na umeme wa gas; sorry to disappoint you kwamba mwenzako naangalia economy at large! Always economy and investments ndizo my favorite topics kwa JF!!! Kama kuna watu wanaitwa Makuwadi wa Mabeberu basi mie ndie mmoja wa hao makuwadi!!!

Mabeberu na mawakala wao tunaangalia returns on investjments na sio bla blah!! Kwamba eti siwahurumii wananchi wa kawaida hizo ni kauli za kinafiki za wanasiasa ambazo na wewe umezikopy kama zilivyo!!!

Ni kauli za kinafiki kwa sababu ni Magufuli huyo huyo ambae kila leo ana-impose tax huku na kule huku akijua wazi kwamba in most case, tax burden goes to the last use ambae ndie huyo mwananchi!! Ni Magufuli huyo huyo ndie kazitamani hata Sh. 20K za Wamachinga na ili kuzipata akaja na gia za vitambulisho!! NI Magufuli huyo huyo ambae alipoingia madarakani tu, akapiga marufuku uagizaji wa sukari kutoka nje kwa kisingizio kwamba uagizaji huo unaua viwanda vya ndani vya sukari! Ambae aliaathirika kwenye katazo lile ni mwanachi kwa sababu sukari ilipanda bei within a week!

So, stop using wananchi as excuse kwa sababu serikali hauiwaangalii hao wananchi!

Nimekuletea habari za solar and wind power kukuonesha kwamba hoja yako ya urahisi wa umeme wa maji ni dhaifu kwa sababu kama issue ni urahisi basi wangewekeza nguvu kwenye solar and wind power!! Tena tungeweza kuachana hata na solar power

Kwamba unachompendea Magufuli ni kutorudi nyuma kwake ni kwa sababu wewe ni shabiki maandazi ambae huangalii maslahi ya taifa bali upo hapa kupigia makofi chochote kinachofanywa na Magu's administration! Mlipiga makofi kwenye ununuzi wa ndege ambazo kila mtafiti wa mambo alifahamu hili ni shipa!! Kwahiyo kumpendea kwako Magufuli na tabia yake ya kutorudi nyuma ndo huko kulikomfanya hadi Wakala wa Ndege za Serikali akimbizie Ikulu ili CAG asikague!!!!!
 
Back
Top Bottom