Recent content by mkyou

  1. M

    Wizi wa kura bungen nani anahusika???

    Ndugu watz msitarajie maoni yenu kupita bungeni kama wameanza rafu, kwa ngazi za ungozi Wakati shughuli bado mbichi
  2. M

    Lema chupuchupu kutiwa nguvuni...

    polisi acheni kutekeleza maagizo ya chama tawala mtakuja zua la kuzua
  3. M

    Battery za tecno N7

    nikweli smart phone hasa ukiwa umewasha 3G nimasaa yake kumi
  4. M

    Battery za tecno N7

    nikweli smart phone hasa ukiwa umewasha 3G
  5. M

    Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Mwache MUNGU aitwe MUNGU sijaamini
  6. M

    Aliyekuwa muigizaji wa Isindigo maarufu kwa jina la Letti Matabhane Afariki

    picha mkuu , mungu ailaze roho ya Letti mahali pema. peponi AMEN
  7. M

    Yanga wafungwa 7-1 Uturuki

    wewe simba, sikuhizi hakuna siri duniani wadanye wakijiweni kwako maana hawako mtandaoni.
  8. M

    Nauza king'amuzi cha star times 40,000

    Nakitaka kama hakijapelekwa kwa FUNDI Nipigie no 0716792321 nipo buguruni MALAPA
  9. M

    Maua Seminary - padre Ladislaus Mbundu amefariki

    Father L adislaus Wanamaua tutakukumbuka kwa kilimo, mifereji ya maji barabara ,upasuaji miamba, marapidi ya kununulia mbolea, kuni mawe, Bwana Ametoa BwanaAmetwaa jina la Bwana lihimidiwe
  10. M

    Poleni Wakazi Wa Kimara na Mbezi -Dar

    As ante sana mkuu mshahara unaishia barabarani ukitaka kuwahi LAZIMA upande bodaboda Mimi nakaa Matosa mpaka buguruni sh 6500 Mara mbili mshara laki 3na sitini upo hapo?
  11. M

    Ukimfumania Mke wako Anakusaliti Fanya Hivi:

    Waache,ondoka kafanye shughuli nyingine
  12. M

    Tovuti ya Mwananchi ya funguliwa tena!

    mkuu aksante kwa kutuhabarisha
Back
Top Bottom