Lema chupuchupu kutiwa nguvuni...

Lema chupuchupu kutiwa nguvuni...

Hizo bidi na nguvu wanazotumia kumtafuta lema wangeelekeza kwa majangili wanaomaliza tembo si taifa lingeendelea sana.au ndipo ujuzi wao ulipofikia.lakini rais akiteleza katika ulimi wake lazima wawepo watu wa kumwambie hapo umeteleza.
 
Kuku wako mwenyewe umchongee manati ya nini?

We si ulishauri akamatwe mbona unaanza kubwajaja? Kamanda lema is a blazing fire, trying to chase him wont give a damn credit to u CCMs besides extreme wounds!
Jipangeni vzr nyie mazezeta!
 
polisi acheni kutekeleza maagizo ya chama tawala mtakuja zua la kuzua
 
Chama cha mapinduzi hakifai tena kabisaaa. Na hapa tanzania damu lazima itamwagika 2015
 
Back
Top Bottom