Jamani, kuna dokta wa Mloganzila tunamuonaga huko snapchat akiwa analewa usiku kucha saa zingine kuuuutwa nzima, alafu anaingia kazini, na anakiri kwamba she's hungover and hajalala. Kweli tunategemea wagonjwa watahudumiwa ipasavyo? Diagnosis itafanyika ipasavyo?
Vita inayoendelea na wafanya biashara ni vita mbaya sana. Hawaangalii jinsi uchumi unavotetereka kwa kuwafungia biashara zao, wananchi wangapi wanapoteza ajira zao na hao hao wananchi ndo walipa kodi. Tanzania taratibu inakua kama Zimbabwe
Angalia historia ya matokeo NECTA ya shule hii kwanza ndo utaelewa. Hii sio mara ya kwanza wanaongoza kitaifa, labda tu umekua hufatilii matokeo yao au ya NECTA miaka ya nyuma. St. Francis Girls imekua ikifanya vizuri kwa mda mrefu sana, na katiko 10 bora ya shule na wanafunzi kila mwaka...
Pole kwa yaliyokukuta. Na ningeomba nikushauri mawili matatu.
1) Tafuta psychologist uongee nae kwa mapana na marefu. Umuelezee yaliyokutokea ukiwa mdogo, jinsi unavozidi kuliongelea hili swala ndo jinsi utakavoweza kuwa na mahusiano mazuri na watu wengine, sana sana mahusiano na mwenza wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.