Recent content by Mkweli77

  1. Mkweli77

    FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

    huyu Ecua Hamna kitu kabisa..anakosa gol la wazi kabsa hapa
  2. Mkweli77

    Sitashiriki kampeni kwa aina ya wagombea tulionao

    kazii ipo mwaka huu
  3. Mkweli77

    Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

    Bei ya jana mnada wa Songea vijijini 3700. .. choma choma washastuka minada inashuka tu, kutoka bei 4540 songwe week tatu zilizopita leo 3700.... Chomachoma wakinunua hadi3400. Ila kwasasa chomachoma 2500.... Kuna uwezekano soko likashuka zaidi kwasababu ufuta upo mwingi sana kuanzia kilwa...
  4. Mkweli77

    Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

    Uzi umewekwa kimkakati saana, MTU atalizwa mda si mrefu
  5. Mkweli77

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Nahisi kuna jambo haliko sawa na pacome na kocha...ila tunafichwa tuuu
  6. Mkweli77

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Ikifika mwenzi wa Sita.. nitafute Mzee nikuonyeshe chaka Uone watu wanavyokusanya pesa kwenye ufuta huku kusini. Utatamani kuiacha. Hizi siyo zama za magufuli za kuhulizana hii milion 200 kwenye account umeipata wapi?...nchi imefunguka hii watu wanapiga pesa hatari.
  7. Mkweli77

    Usiku wa deni haukawii kukucha, TANESCO tunawasubiri Februari 16, 2024

    Kuna jamaa anafanya kazi Bwawa la umeme Rufiji....kitu alichoniambia kuhusu mradi huo daahh!! Hatari saana bora nikae kmya tu maana sina mwanasheria
  8. Mkweli77

    Suala la Jezi Zilizo Kamatwa Limeishia Wapi? Waziri Alitudanganya?

    Hili sakata la jezi fake ndo basi walioshika mpini wamelifunga Rasmi
  9. Mkweli77

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Mayele kama mlikua mnamwangalia kabla ya kupiga penalty ni kama alikua analalamika kwa huyu jamaa aliyeenda kupiga penalty...na akakosa.
  10. Mkweli77

    Experience yangu kuhusu PEP-(Vidonge vya kukinga na maambukizi ya VVU)

    Yaliyokukuta ndo yaliyonikuta mimi miez kadhaa nyuma.. nilitumia hizo dawa ndani ya siku 21. Yule demu nikampima ila akawa fresh.. nikamuhuliza daktari kama kuna umuhimu wa kuendeleeaa kutumia hizi dawa akasema Hapana Achana nazo tu haina shida. Kwahiyo wewe hizo dawa achana nazo.
  11. Mkweli77

    Msaada: Faida na hasara za biashara ya mashine ya kusaga/kukoboa mahindi

    Nashukuru sana kwa ushauri huu dahh!! Hii project nimepambana nayo Sana. Nipo hatua za mwisho kabisa, Mashine ianze kufanya kazi
  12. Mkweli77

    FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    Kuna rafiki yangu kaweka 5,000,000. Yanga ishindeee dahh sijui ana halii gani mda huu...
Back
Top Bottom