Recent content by MKWEAMINAZI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchi imejaa Wanasiasa Malaya au Wanasiasa Fisi?

    Tumie Akili mwandishi wote aliowataja amewataja kwa kuzingatia VITUO vyao vya Mwisho kabla ya Kununuliwa na DIKTETA MAGUFULI kama wewe unataka kueleza Mwanzo wao ANDIKA ANDIKO LAKO
  2. M

    JamiiForums Tanzania "Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

    HINGERA MBOWE NA CHADEMA KUWASHTUKIA WAJINGA HAO SAUTI YA WANANCHI
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Wilbroad Slaa anajipenyeza CHADEMA kiaina kuimaliza kazi aliyopewa na CCM?

    DR.SLAA ASIAMINIWE TENA NI ASKARI MSALITI ANANUNULIKA WAKATI WOWOTE NA KWA BEI YOYOTE ALIISALITI CHADEMA KATIKATI YA VITA KWA VIPANDE VYA FEDHA NA UBALOZI
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa asiaminiwe kamwe anauzika kwa bei yoyote wakati wowote

    Wananchi nawasabahi.Nadhani yaliyotokea 2015 wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mtu ni shahidi. Dkt. Slaa alikuwa katibu mkuu wa CHADEMA chama kikubwa cha upinzani na mikakati yote ya ndani ya chama ya kumpata mgombea urais makini huyo Dr. Slaa alishiriki kwa asilimia 100. Chadema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania katika utumbuaji, natamani kituo kinachofuata kiwe NSSF .

    ACHA UCHAWI WAKO
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

    KAPANDISHWA AU KASHUSHWA?
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ndio waliibomoa UKAWA kwa kuwafitini Prof. Lipumba na Dkt. Slaa kisha kumualika Lowassa, sasa wataihujumu Sauti ya Watanzania

    PROF.LIPUMBA NA DR. SLAA SIO WAPINZANI WANANUNULIKA KIRAHISI UKIWAPA UDC TU WANASEMA
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

    KUNA BALOZI WA CHINA ALIWAHI KUVALISHWA TSHIRT NA KOFIA YA CCM
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inaogopa nini kubadili katiba ya nchi? Mbona inabadili ya CCM!

    Wadau nawasalimu.Mada hapo juu yahusika.Kama mtakunbuka Aliyeuanzisha Mchakato wa kuwapatia KATIBA MPYA wananchi ni RAIS na Mwenyekiti wa CCM TAIFA.Mh.KIKWETE .HZOJA zake zilikuwa nzuri sana kwani alisema KATIBA tuliyonayo imepitwa na Wakati Mambo mengi yamebadilika pamoja na MAISHA kwani KATIBA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha kug'aka ovyo. Wewe unajulikana fika ni msaliti

    Punguza Jazba utapasuka bureeee Achana na Kamanda sio level yako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa

    Ataitwa AJIBU TUHUMA
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Benson Kigaila wa CHADEMA?

    MBONA YEYE HAJAKUULIZA ULIPO? UNGEMUULIZA ALIPO MZEE MANGULA INGEKUWA POA
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jokate na Lulandala kuimaliza CHADEMA! Nawaamini kwa mipango na Propaganda

    KAMA ALISHINDWA MWENYEKITI WA TAIFA MAGUFULI na mwisho wake AKAFA yeye badala ya CHADEMA basi HAKUNA mtu wa kuimaliza tena
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

    Akili ni kutoka CCM kwenda UPINZANI ukichaa ni kutoka Upinzani kwenda Ccm
Back
Top Bottom