Recent content by mkwe mkwepe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

    Kama kawaida yenu wazee wa bonanza sema safari hii mmewahi sana kuwaza hayo mabonanza yenu sisi tunaumiza kichwa namna ya kumkabili tp mazembe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

    Hahahaaa ila ni kwa leo tu lakini
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

    Utakula jeuri yako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

    Na ndo tunachotaka hicho kiongozi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

    Kila la kheri Azam fc
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Nadhani ingekua vema kama tungempa mawazo ya kumjenga na yeye ameona hapa ndio mahali sahihi ambapo anaweza pata msaada dada
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada : Swali la umetoa wapi namba yangu?

    Kuna prof kilaza humu mwalimu wa madomozege em jaribu kuwasiliana nae atakusaidia
  8. M

    JamiiForums Tanzania VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

    Kwa kasi aliyonayo Msuva sidhani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Supermarket inayomilikiwa na Wachina Dar yabagua Watanzania weusi

    Yawezekana ikawa ni zaidi ya supermarket huenda kuna biashara nyingine zinaendelea hapo ndio maana hawataki wabongo waingie humo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha; Je, wajua wafurukutwa ni kiboko ya wakereketwa

    Hazimtoshi huyo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu tar 18/04/ 2015: Mbeya City vs Simba

    Kwani hii mbeya city si ndo ile iliyoshushiwa kipigo kizito na vijana wa jangwani ama
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

    Hawa watangazaji wanatuchanya sasa sisi tunataka kusikiliza timu ya wananchi wenyewe wanatuletea habari za mikia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

    Nimeipenda hiyo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

    Uyo atakua@Nyamchele
Back
Top Bottom