Huko nyuma ķoote nimeunga mkono ukosoaji wenu kuhusu manabii wa uongo.ILA HILI LA KUMHUSISHA/KUMUUNGANISHA T.B.JOSHUA NA HAO MANABII FAKE, NASEMA NOOO! YES, BIG NOOO..
Sio Charles Kichere anayeipeleka Tanzania shimoni.NOOO !! yeye anatekeleza tu sheria zilizopitishwa na bunge(ambalo mmelichagua wenyewe).Kama sheria Inasema customs rate Au excise rate Au VAT rate ya bidhaa fulani ni 25% yeye anatoza kodi kwa rate(kiwango) hicho kilichowekwa kisheria.Yeye...
Kumbuka kwa private sec schools,unapolipa say,mil 2 kwa term moja i.e.4 mil kwa mwaka, hiyo ina-cover gharama zote za chakula,mavazi,usafiri,tuition fee etc.
Nadhani Mh.Rais kwa kusema hayo aliyoyasema,alikuwa na nia nzuri tu.Ila tunamshauri baada ya kusoma maoni ya watu wengi humu,atakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuboresha hilo tangazo lake:Kwamba hata wale watoto ambao wamesoma private hizi za kawaida kama Kibosho girls,st.Francis n.k. ambao wana...
Serikali Inapaswa kutoa mkopo hata kwa wanafunzi waliosoma private kwa sababu mbili zifuatazo:(1)Wale waliojinyima wakasomesha watoto wao private wameisadia serikali kutoa elimu bora kwa watanzania,kitu ambacho ndio lengo la serikali iliyo makini.Kwa hiyo ni vizuri serikali nayo ikawatua mzigo...
Hii naona ni propaganda tuu.Ila kama haya ulioandika ni kweli,basi alichofanya Mbowe sio vizuri na ikithibitika,inaweza kumshushia hadhi.Ila hebu tuthibitishie haya uliyoyaandika Angalao kwa picha Mange akiwa na Mbowe n.k.Otherwise unaweza ukawa umetunga na kuiandika hii story ukiwa chumbani...
KWA KUWA UMEAMUA KUJISALIMISHA KWA YESU,NINA IMANI MUNGU TAYARI NDO KAANZA PROCESS YA KUJIBU MAOMBI YAKO."MIMI NAKUSHAURI NENDA KWENYE KANISA LIPO KIGOGO,LINAITWA "CHRIST MANDATE CHURCH.LIPO BARABARA YA KIGOGO NJIA PANDA YA KWENDA TABATA(lipo barabarani kabisa,limetizamana EXACTLY na Kigogo...
Mkuu pole sana.Nitafute kwenye no. 0784269805 nikupe ushauri bure utakaomaliza hili tatizo lako once and for all.Bila kujali dini au dhehebu lako.Karibu sana mkuu.
Bila kujali kama wewe ni dhehebu gani,kama kama kuna watu ambao wanaweza kukusaidia ukapata USD 3000 KWA HARAKA,Nenda LAGOS Kwa Prophet T.B.JOSHUA.Ninao uhakika more than 100% kwamba T.B.JOSHUA Akikugusa na mkono wake wa kulia mara moja tuu! utapona kabisa na wewe mwenyewe utakuwa a Living...
Mimi nadhani kwa hili bandiko lako,mamlaka yako ya uteuzi inatakiwa ikufukuze kazi mara moja!(hufai kuwa mkurugenzi wa Halmashauri)kwenye awamu hii ya JPM.Yaani Mkurugenzi wa halmashauri unafikiria kutoa zabuni kwa upendeleo? halafu bila aibu unakuja huku JF kuonyesha weakness yako...
Mimi Nakushauri Hata huyo mimba uwezekano mkubwa itakuwa ya huyo jamaa.Huko mbeleni huyo mtoto aliye mimba akizaliwa salama,ndo uje upime DNA.KUHUSU HUYO MTOTO MKUBWA, Pia KOMAA Jamaa asimchukue kirahisi kihivyo.Mwambie huyo jamaa agaramie gharama za vipimo vya DNA Kwanza,na vipimo...
Halafu hii dhana ya kutokula nyama Imekaa kimwili zaidi.Kwa sasa hivi hii amri haitekelrzeki kwa kuwa ni amri ya binadamu,na mawazo yake yanapevuka kila siku na kubadilika.Amri ya Mungu ndo haibadiliki kwa kuwa Mungu ni Yule Yule Jana Leo na hata milele.Na ndio maana Mungu ktka Maandiko...
Mtu anasema nyama hatakula siku ya Ijumaa Kuu.Lakini mtu huyohuyo jioni anapokuwa kanisani Ktka Ibadah ya Ijumaa anatafakari moyoni akiomba kimya kimya Hiyo Ibada itaisha saa ngapi ili akanywe pombe na kulewa.Wakatoliki bwana !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.