Msaada wa kupata maombezi

Msaada wa kupata maombezi

Okay, nimegundua una haraka ya mafanikio wakati haujui ufanye nini ili ufanikiwe
Mkuu samahani lakini ivi unajua ni umri gani unatakiwa upambane maisha ya mbele yakae sawa??
Ungenisikiliza hata kidogo usingesema na haraka ya maisha ila aksante
 
KWA KUWA UMEAMUA KUJISALIMISHA KWA YESU,NINA IMANI MUNGU TAYARI NDO KAANZA PROCESS YA KUJIBU MAOMBI YAKO."MIMI NAKUSHAURI NENDA KWENYE KANISA LIPO KIGOGO,LINAITWA "CHRIST MANDATE CHURCH.LIPO BARABARA YA KIGOGO NJIA PANDA YA KWENDA TABATA(lipo barabarani kabisa,limetizamana EXACTLY na Kigogo Police post).Mchungaji Kiongozi anaitwa Pastor MALAKI.J2 kuna ibadah 2.Ibada ya kwanza inaanza saa 1 kamili Asb mpaka saa 6 mchana.Service ya 2 saa 6 unusu mpaka saa 11 jioni.Mkuu ukienda hapa,mwenyewe hutajutia na hutakaa upasahau hapo mahali.kwa maelezo zaidi nipigie 0784 26 98 05
 
Imani ianze mwenyewe. Kama una nia ya dhati na kweli; sali, funga hata siku 3 (masaa 12), omba kwa mzigo na majuto. Mungu ni wa huruma nyingi na upendo atakutendea.

Wakati unafanya hayo yote, ubadili tabia zako. Tenda mema.

Nilikutwa na mambo haya Wakati nimemaliza chuo, ilifikia nikaona kusoma ni upuuzi. Mtu nimesoma lakini nashindwa maisha na dereva wa bodaboda!

Lakini kwa wakati wake Mungu alinitendea. Nami sitamsahau kwa wema wake kwangu.
Sitabadilika. Amini Mungu anaweza, tungekuwa live ningekwambia mengi ila hata haya yanatosha.

Believe in Jesus Christ.
 
Nakutafuta mkuu aksante
 
Aksante mkuu
 
Imani yako ikoje?? Usije hangaisha watu wakuombee kumbe una imani haba mkuu, na pia funga na kuomba kwa dhati Mungu hujibu kila goti lipigwalo kwa muda autakao na ambao ni sahihi kwako, kazana kupambana usikate tamaa amini ipo siku milango ya riziki itafunguka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom