Recent content by mkwanguaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pale bwana harusi anapoonesha uweZo...!!!!

    Ngoma inaitwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pale bwana harusi anapoonesha uweZo...!!!!

    Hii ngoma inaitwaje aiseee anayocheza huyu mshkaji? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania WAKALI WA DREAM LEAGUE SOCCER

    Wale wenzangu wenye Android na tunacheza game za DREAM LEAGUE SOCCER tukutane hapa tupeane maujanja
  4. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KTK BLOGS

    Mambo vipi wana Jamvi? nina shida moja naomba mnisaidie. ninatafuta website za kingereza ambazo hazijawa monetized na adsense. naomba anaezijua au anaeijua anisadie tafadhali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani nizingatie kabla sijanunua Laptop?

    Bajeti ni laki 5. Na ni matumizi ya kawaida ya mtandaoni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani nizingatie kabla sijanunua Laptop?

    Habari Wadau Wa JF, Naomba kuuliza ni kitu gani nizingatie kabla sijanunua Laptop? Ninapenda Sana Laptop za HP. Naomba muongozo wadau. Natanguliza Shukrani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

    Asubuhi ya leo Tanzania imezipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Mumewa Zamani wa IRENE UWOYA na Kocha msaidizi wa timu ya RAYON SPORTS ya Rwanda, HAMAD NDIKUMANA KATAUTI ambae amefariki ghafla. Mwandishi wa habari za Michezo Wa FOOTBALL SITE ameripoti kwamba Gakwaya Olivier ambae ni Afisa...
Back
Top Bottom