MSAADA WA KTK BLOGS

mkwanguaji

Member
Nov 7, 2017
7
5
Mambo vipi wana Jamvi?
nina shida moja naomba mnisaidie.
ninatafuta website za kingereza ambazo hazijawa monetized na adsense.
naomba anaezijua au anaeijua anisadie tafadhali
 
Mkuu ni vyema ukawa creative tyu maana hata kama site haijawa monitize na adsense na ikawa page ulio copy na kupaste ilirank kwenye google search engine utadakwa tyu.maana google wanawatafuta watu kama nyinyi....msio taka kusumbua vichwa.
 
Website /blogs za makampuni na zakibiashara hazisajiliwi.
Yangu nimesajili mkuu, hatua yakwanza unasajili kampuni BRELA, unalipa kodi TRA, unalipa application fee TCRA inakaguliwa wanakupa go on ndo unalipia leseni 1M baada ya siku 3-4 za kazi wanakuruhusu. Kwasasa kuna watu walienda kukata rufaa so TCRA wamekaa kimya ila wakishinda wataliamsha na itawaathiri wengi.

Kwenye dashboard yangu baada ya usajili inaonekana hivi
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    30.9 KB · Views: 37
Yangu nimesajili mkuu, hatua yakwanza unasajili kampuni BRELA, unalipa kodi TRA, unalipa application fee TCRA inakaguliwa wanakupa go on ndo unalipia leseni 1M baada ya siku 3-4 za kazi wanakuruhusu. Kwasasa kuna watu walienda kukata rufaa so TCRA wamekaa kimya ila wakishinda wataliamsha na itawaathiri wengi.

Kwenye dashboard yangu baada ya usajili inaonekana hivi

Sawa mkuu ila kwa ninavyo elewa mimi kama website ni ya kampuni huna haja ya kusajili TCRA.
na kuhusu rufaa imekatwa na kina malunde, juu ya uwongozi wa TBS na tunaombea ushindi juu ya hilo.
Na hata kwa upande wangu ndo iko hivyo.
 
Ok mkuu ila afisa 1 wa TCRA alinipa maelekezo hayo na ndivyo yanavyosomeka ktk kanuni kwamba kama una update frequently ni lazima usajili.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom