Recent content by Mkwangile

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivyo mlivyoumbwa isiwe sababu.

    Duuuuh,,,,pokeeni hapo ni ngumu kumeza
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndege nne kwa mpigo zilizoahidiwa na Serikali ikiwemo Boeing 787-8 Dream Liner zitaingia nchini Julai, mwaka huu

    Nitaamini hadi pale zitakapofika nchini
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii inamaana gani wakuu

    Kwanini usimuulize ndugu yangu???Majibu tutakayokupa pengine sio sawa na muhusika alivyo
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

    Tatizo sio kumfuatilia tatizo ni yale utakayomkuta nayo utaweza kuyakabili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri adui wa mrusi si ISIS bali ni Us...Su 57 zimetua rasmi Syria

    Walisema imegongwa na kimila nzoka
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri adui wa mrusi si ISIS bali ni Us...Su 57 zimetua rasmi Syria

    Mkuu umeanza lini kufuatilia hizo habari za kimataifa mbona upo nyuma sana hilo tukio la F 35 lilitokea mwaka jana kama sikosei sio hili la juzi wao walisema F35 iligongwa na ndege kamila nzoka sio kuwa damaged na kombora
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri adui wa mrusi si ISIS bali ni Us...Su 57 zimetua rasmi Syria

    Wataikataa hii na kuikubali link ya kwao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hali halisi haipo kama inavyodaiwa na wapiga kelele wa mitandaoni

    Hajielewi huyo achana nae
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtaongea mtachoka, tulishaamua nchi hii ijengwe sasa iwe kwa sululu au kwa majembe ama kwa gwaride

    Kipi mnachokifanya huu mwaka 3 hakuna jipya hali mbaya mnajenga nchi au mnajenga matumbo yenu??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

    OK,,,,nimekusoma mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri adui wa mrusi si ISIS bali ni Us...Su 57 zimetua rasmi Syria

    Tuletee specification kutoka kwenye vyanzo vya habari vya magharibi na marekani ukishindwa usiwe unamkosoa maana wengine tunajifunza haya mambo
  12. M

    JamiiForums Tanzania President Paul Kagame... No escort.... No bodyguards... No paparazzi...

    Ni kweli mkuu huoni bodyguard hapo???Binafsi nimewaona kama wa nne hivi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

    Huwa naona jinsi unavyowapuuza nipe siri ya mafanikio kwenye kuwapuuza kwako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Roma afungiwa miezi sita kujihusisha na sanaa

    Wafungie na ule wimbo wa CCM mbele kwa mbele
  15. M

    JamiiForums Tanzania Roma afungiwa miezi sita kujihusisha na sanaa

    Kama umeisikiliza hiyo nyimbo sema hilo tusi
Back
Top Bottom