ugonjwa mkubwa unaoumwa ni USHABIKI.
Taifa letu linahitaji watu wenye open mind ambao hawana chembe ya ushabiki.kwa hiyo kuleta Demokrasia ni wajibu ila kuleta maendeleo siyo wajibu wake?
ugonjwa mkubwa unaoumwa ni USHABIKI.
Taifa letu linahitaji watu wenye open mind ambao hawana chembe ya ushabiki.kwa hiyo kuleta Demokrasia ni wajibu ila kuleta maendeleo siyo wajibu wake?
kwa kuwa tayari tuna demokrasia,Rais atakaefuata ashughulikie uchumi.JK Uwezo huo hana.hayo aliyo yafanya ndiyo mwenyezi Mungu alimwangazia. kumbuka kila mtu ana strength na weakness.
Karibia watu wote niliowahoji wanadai Jk hajafanya lolote la maana kama kiongozi wa nchi.
Mimi naona si kweli.Jk amefanikiwa sana kukuza Demokrasia kuliko watangulizi wake japo ameshindwa kukuza uchumi.Watu wana uhuru wa kuongea, Uhuru wa media umeboreka, maoni ya wapinzani yanafanyiwa kazi...
Kilichokufanya umtilie mashaka Mbowe ni jinsi anavyopangilia hoja zake.Hilo ndilo limekufanya utake kujua IQ yake.Tupe mfano wa hoja moja au 2 ambazo hakuzijenga vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.