Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Tutofautishe aina ya safari, hii ni safari muhimu kama kiongozi wa nchi kuwepo yeye binafsi halafu mbona safari nyingi huwa anawakilishwa
Hii safari ina umuhimu kuliko raia waliouawa na askari kule Idodomia? Wacha dhihaka wewe kitu gani ataongeza yeye kwenye huo mkutano zaidi ya kulifilisi taifa, wacha hilo hebu tupe mafanikio ya mikutano aliyohudhuria ya jumuiya ya madola hapa ...... ..... ..