Recent content by mkuzo

  1. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Gharama ya vyumba vya kupanga jijini Mwanza

    mawasiliano yako tafadhari
  2. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Gharama ya vyumba vya kupanga jijini Mwanza

    mtaa gani?
  3. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAMISEMI) wafanyieni walimu Interview kabla ya kuwapost vituoni...

    waalimu wa lugha wapimwe kwa lugha, usiniambie mwalimu wa hesabu akishindwa kuongea kingereza fasaha apigwe kando, najua kingereza cha kufundishia hesabu atakuwa nacho tu, hao wapimwe kwa uwezo wao kwenye calculations, sio lugha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Pintech fridge inauzwa

    daah...ndungu nna mtambo wa pinetech hapa mwaka wa nne ngoma iko fresh Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mkuzo

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ole wake atakayeandamana bila kufuata sheria

    Hivi ni lini watubwaliruhusiwa kuandamana kwa kufuata sheria!!?
  6. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA

    Wanafunzi wameonywa wasiwe wqnatembea angani.....wanaweza kukutana na risasi za kutuliza maandamano....
  7. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Hivi ni lini serikali itawapenda raia wake kuliko silaha zake!? Haya maendeleo wanayosema wanayatafuta ni kwaajili ya nani!? Kwanini wanatumia silaha za moto Vs watu wasiokuwa na silaha!? Hivi hawa watawala wetu watatawala milele? Kuna watu wako kimya kwenye system kwakuwa wanapata ulaji kwa...
  8. mkuzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Tukiwaambia muwe mnatest before mnatuona wajinga....haya sasa ndoa ni ya kikristo!? Kama ya kikristo ndo Mungu amekupangia hivyo...pambana ndo chaguo lako maisha ...kama ya kiislamu tafuta jiko lingine ukikuta tena ovyo tafuta jingine mpaka wanne!!!
  9. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Kampeni za uchaguzi jimbo la Siha zinaendeleaje?

    Hivi mkuu unamfahamu mnyeti!?
  10. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Ukiona hivo ujue hakuna mahusiano mazuri kati yako na mke wako.....kuwa makini na ndoa yako ..[emoji3]
  11. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Kampeni za uchaguzi jimbo la Siha zinaendeleaje?

    Wakuu...toka kampeni zimeanza kwa haya majimbo mawili yanayo waniwa ...naona ni jimbo moja tu la kinondoni ambapo nguvu kubwa imewekwa na mahasimu wote wa kisiasa...najiuliza vipi kuhusu siha!? Au upande mmoja umeshakubali kushindwa!? Manake sioni watu kuiongelea sana kama ilivyo kwa kinondoni!!
  12. mkuzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekataa kukiita 'ki ben 10' cha dada yangu shemeji

    Tafuta kwako na ww uwe na amri zako za kipuuzi
  13. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Pintech fridge inauzwa

    Daaah mbn me nna radio yao mwaka wa 3 sasa ngoma inakita ile ile ...
  14. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge kazikwa na Katekista na alifanyiwa ibada sio misa

    Hata hiyo yakwako kuna watu wataiona kama ww unavoiona hii....[emoji3]
  15. mkuzo

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge kazikwa na Katekista na alifanyiwa ibada sio misa

    Kweli kabisa ...angeanza na nafsi ya kwanza umoja...sio kutusemea sisi!!
Back
Top Bottom