Recent content by Mkuzi-Bonde

  1. M

    JamiiForums Nina miaka 28 nataka kurudi chuo kusoma shahada ya sheria

    Ndugu mimi nimerudi chuo na nipo mwaka wakanza pamoja na bint yangu
  2. M

    JamiiForums Baada ya Shujaa Lissu kuachiwa huru na Mahakama unadhani ni BaraBara ipi itumike kumsindikiza hadi Makao Makuu ya CHADEMA?

    Na nashauri Rais aifanye siku ya mapumziko kusherehekea uhuru wa shujaa Lissu
  3. M

    JamiiForums Haihitaji kuwa genius kutambua Lema hayuko sawa

    Sijui pesa ya Ccm huwa wanaiwekea nini,yaani ukiila tu unakuwa boya boya.
  4. M

    JamiiForums PostGE2025 Je, Samia Suluhu yamsuta? Mtoto Angel alopigwa risasi 29 Oktoba 2025, asaidiwa na kununuliwa Nyumba Upanga!

    Ushahidi unakwenda kumaliziwa huu...Haitakiwi kusikika sauti hii..Mungu amlinde mtoto na familia yake,shetani yupo kazini kufuta ushahidi wote
  5. M

    JamiiForums Duh mwamba kakutwa kiwili wili tu, kichwa hakipo!

    Yaaani anakimbia Rwanda anakwenda Uganda?
  6. M

    JamiiForums Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

    Kuna wale waArabu wa pale ClockTower..Wale jamaa wana pesa sana sema wapo lowprofile..
  7. M

    JamiiForums DSM - Moshi = 547 km DSM - Kigoma= 1374 Km Nauli ni sawa 60 elfu

    Kwahiyo unataka Nauli ya Moshi ipungue au unataka nauli ya Kigoma iongezeke?
  8. M

    JamiiForums Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

    Janjajanja,jamaaa na familia yake wanajua walipo amua kuweka maisha yao mapya,Anajua msala unaokuja mbele yake,amekimbia
  9. M

    JamiiForums An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

    Yule ni yule Mchungaji aliyemkimbia Mbowe Cdm akaenda mbogamboga na sasa amerudi Cdm
  10. M

    JamiiForums Hakuna waziri aliyegeuzwa geuzwa kama kondomu za Kagera kutoka Uganda km simbachawene, nakusihii tetea katiba.

    Chawene ameahidiwa kurudi kwemye baraza la mawaziri nafasi ya Makamu mpya.Wacha abwabwaje
  11. M

    JamiiForums Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    Hahahahah lile ni chezo kumficha isijulikane anahusika na la Nchimbi,huju alikuwa ameondoka amekwisha haribu kilakitu
  12. M

    JamiiForums Wanajamii forums tunzeni haya maneno.

    Umenikumbusha kisa cha Msanii wetu alisema atakuwa Tajiri number 1 Duniani
Back
Top Bottom