Recent content by mkuu72

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Katika bible imeandikwa kuwa watu ambao hawakufikiwa na biblia hukumu itazingatia misingi na taratibu za maisha walizojiwekea.mipaka katika kila jambo mtu akivuka isivyo sawa anaangukia kwenye kosa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mwaiposa na uuzwaji wa “Maji ya Baraka” ni wizi mtupu

    Kwanza jina la mtumishi siyo Mwaiposa ni Mwamposa. Ukumbuke maelfu wanaoenda pale siyo wajinga kiasi kwamba wewe ndiyo mwenye akili. Kwani kuruhusu kampuni ya Kisima isogeze huduma pale ni kosa? Maji ya 1.5 litre popote yanauzwa kati ya 1000 mpaka 1500 na pale maji ya kampuni ya kisima yenye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Tapeli aliyekwamisha ununuzi wa nyumba za Lugumi, alitumwa na Lugumi ingawa sina fact

    Alitumwa.lakini inawezekana mnada kurudiwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Hivi kweli Lissu anaweza kuwa na ushwawishi huko nje kuliko serikali na Vyombo vyake vinavyoshughurikia maswala nje ya nchi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nani atafaa kuogombea Urais kwa CHADEMA 2020?

    Maalim self huwezi kumlinganisha na lipumba ambaye hajawahi kuwa hata diwani wa kuchaguliwa. Maalim aliishakuwa kiongozi tena alionekana na kupewa majukumu wakati Mwalimu Nyerere. Maalim ameishakuwa makamu wa kwanza wa rais upande wa Zanzibar kikatiba kwa kuwa nusu ya nchi upande wa Zanzibar...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba Wananchi huwa wanusimamisha Msafara wa Rais barabarani?

    Wanakuwa wametuma ujumbe kupitia mamlaka husika na kwa njia hiyo ni rahisi kuwasikiza Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira mgodi wa Bulyanhulu

    Mimi nadhani kama kweli tunamaanisha na ka aliyegundua uozo huu ni rais basi marais waliyokuwa madarakani miaka 17 iliyopita nao wachunguzwe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwa viongozi wa dini kuhusu ulevi wa Mzee wa Upako!

    Kuokoka ni kweli ni kwenda mbinguni lakini vile vile ni kuishi Maisha ya yaliyostawi. Nguvu ile ile inayookoa ambayo hutoka kwa Mungu mkuu ndiyo nguvu hiyo hiyo inayomfanikisha mtu na kutoka katika vifungo vya kimasikini .tunaweza kujisomea andiko hili hapa Kumbumkumbu la tarati 8:18 Linasema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

    Mimi nadhani pamoja mhe Mbowe kupewa nafasi mhe Lema ambaye ni mbunge jimbo ilifaa sana naye angepewa nafasi
Back
Top Bottom