Nani atafaa kuogombea Urais kwa CHADEMA 2020?

Tundu Lisu atosha, haiba na utashi wake kisiasa unaonekana.Mikikimikiki ya kampeni majukwaani ataweza.Uwezo wa kujenga na kujibu hoja kwa washindani wake anao.Atafaa vizuri CHADEMA wakimpa ridhaa ya kupeperusha bendera yao kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
 
Maalim self huwezi kumlinganisha na lipumba ambaye hajawahi kuwa hata diwani wa kuchaguliwa. Maalim aliishakuwa kiongozi tena alionekana na kupewa majukumu wakati Mwalimu Nyerere. Maalim ameishakuwa makamu wa kwanza wa rais upande wa Zanzibar kikatiba kwa kuwa nusu ya nchi upande wa Zanzibar yeye ndiye anayeungwa mkono. Cuf imepata nguvu upande wa Tanzania bara baada kujiunga ukawa na ukawa ukampata Lowasa ndiyo sababu ya Cuf kuwa hata na wabunge kadha na kuzaa wale waliyofukuzwa na mtu ambaye hakusaidia kupatikana kwao,walipatikana kwa sababu ya ukawa na Lowasa. Kwangu mimi namuona Maalim ka mtu aliyefikia kiwango cha juu sana katika uongozi kwa kuzingatia sifa nilizotaja hapo na pia ni mwanadipromasia wa siku nyingi. Lipumba angetafakari hayo,kwa sababu nguvu ya chama siyo majengo yale pale buguruni,nguvu ya chama ni kupata Ushindi katika mitaa kata na majimbo ikiwezekana na kuchukuwa uongozi wa juu.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na vuguvugu la kisiasa kwa sasa linavyokwenda kwa hali ya kisiasa inavyokwenda ninapendekeza ukawa kama utakuwepo au chadema imsimamishe SAIDI KUBENEA AGOMBANIE URAISI KWA SABABU ZIFUATAZO ... . .......

1.KUBENEA NI MUISILAMU LAKINI PIA NI MTU WA KUSINI ANATOKEA KILWA KABILA LAKE NI MNDENGEREKO .

2.LAKINI PIA KUBENEA NI MMOJA KATI YA WANASIASA WANAOJUA KUJENGA HOJA NA KUTOA USHAWISHI KWA WATU ???

ENDAPO KUBENEA ATAGOMBEA HII ITAKUWA NI TURUFU YA KUVUNA KURA ZA WAISILAMU WALIO KANDA YA PWANI , KUSINI , KANDA YA KATI HADI KANDA YA ZIWA .

LAKINI PIA HII ITAKUWA NI TURUFU KWA NDUGU ZANGU WA KUSINI WAMAKONDE , WAMWERA , WANGINDO, WAMAKUWA NA WANDENGEREKO

TUKIENDA KANDA YA KASKAZINI NA KANDA YA ZIWA HIZO NI NGOME ZA CHADEMA NATUMAI TUTAVUNA KURA NYINGI .

HAYA NI MAONI YANGU TUU KWA VIONGOZI WA WAKUU WA CHADEMA KATIKA KUVUNJA ZILE PROPAGANDA ZA UDINI NA UKABILA TOKA KWA ADUI.....

LAKINI ENDAPO CHADEMA ITAMSIMAMISHA MGOMBEA AMBAE NI MKRISTO AU TOKA KANDA YA ZIWA NA KASKAZINI 2020 UTAKUWA UCHAGUZI MGUMU KWAO .

HAYA NI MAWAZO YANGU TUU
 
Kwanza niseme binafsi simwitaji EL kuwa mpeperusha bendera ya CHADEMA 2020, ila kama anataka asitafishwe siasa kwa lazima agombee.

Ila kwa ujumla naangalia tunavyojipanga na tunavyoenenda ndani ya chama chetu cha CHADEMA, hivi ni nani anaweza kupeperusha bendera yetu 2020?

Ukiangalia kwa macho ya nyama hupati hata mmoja labda itokee kama 2015. Kama Dr. Slaa ambaye tuliamini alikuwa na nguvu ya kuitoa CCM bila jasho kabisa, kwa sasa nani anafikia hata nusu ya Dr. Slaa pale kwetu?

Ni mawazo tu haya.

Hebu tuchangie kwa utulivu.
BERNADO MEMBE ndo atapita ukawa
 
Hahaha
 
wewe unafaa kabisa.
 
Nyakati fulani rafiki yangu Zitto ali dream/waza/aspire innocently kugombea urais kupitia chadema. Reaction iliyotokea chadema ilikuwa kubwa, negatively kumpinga bila kuangalia ni mtoto wao, zao lao, anatamani hivyo...ilipita ile na tulii note. Athari yake ni kuwa ndoto zile zilizimwa kwa vijana wote ambao wangetamani pia siku moja kuwaza kuwa rais....

Ndio unakuta CCM wanakuwa na wagombea 40 wa nafasi moja....na vyama vingine wanakuwa 2,3 au hakuna

EL ashasema anagombea 2020..hakuna wala sijasikia akipingwa kama ambavyo ilitokea kwa wengine!!! na hata kuwekwa pale sidhani kama kila mmoja wenu aliridhia

Huwa nasema pale wanachama watakapokuwa na uwezo wa kukosoa, kuonya, kishauri uongozi wa vyama vyao ndo chachu ya mabadiliko kwa taifa zima.

Slaa angegombea 2015 asingeta kura nyingi kama EL ila bado angeweka stable foundation kwa chadema kubeba nchi 2020!! hili gumu kueleweka hasa pale watu wanapotaka miujiza....filosofy ya cdm isingepotea na Slaa angekuwa rais halisi wa mioyoni

Hivi mtu aliyekuja CDM baada ya kukatwa huko unaweza ujihakikishia kuwa ni mwanachadema? what drives Mbowe? mabadiliko halisi, hela, biashara au??

povu ruksa

Kweli kabisa
 
bora ungezungumzia act wazalendo. chadema wameshapoteana.
 
Kutokana na vuguvugu la kisiasa kwa sasa linavyokwenda kwa hali ya kisiasa inavyokwenda ninapendekeza ukawa kama utakuwepo au chadema imsimamishe SAIDI KUBENEA AGOMBANIE URAISI KWA SABABU ZIFUATAZO ... . .......

1.KUBENEA NI MUISILAMU LAKINI PIA NI MTU WA KUSINI ANATOKEA KILWA KABILA LAKE NI MNDENGEREKO .

2.LAKINI PIA KUBENEA NI MMOJA KATI YA WANASIASA WANAOJUA KUJENGA HOJA NA KUTOA USHAWISHI KWA WATU ???

ENDAPO KUBENEA ATAGOMBEA HII ITAKUWA NI TURUFU YA KUVUNA KURA ZA WAISILAMU WALIO KANDA YA PWANI , KUSINI , KANDA YA KATI HADI KANDA YA ZIWA .

LAKINI PIA HII ITAKUWA NI TURUFU KWA NDUGU ZANGU WA KUSINI WAMAKONDE , WAMWERA , WANGINDO, WAMAKUWA NA WANDENGEREKO

TUKIENDA KANDA YA KASKAZINI NA KANDA YA ZIWA HIZO NI NGOME ZA CHADEMA NATUMAI TUTAVUNA KURA NYINGI .

HAYA NI MAONI YANGU TUU KWA VIONGOZI WA WAKUU WA CHADEMA KATIKA KUVUNJA ZILE PROPAGANDA ZA UDINI NA UKABILA TOKA KWA ADUI.....

LAKINI ENDAPO CHADEMA ITAMSIMAMISHA MGOMBEA AMBAE NI MKRISTO AU TOKA KANDA YA ZIWA NA KASKAZINI 2020 UTAKUWA UCHAGUZI MGUMU KWAO .

HAYA NI MAWAZO YANGU TUU

uko serious,kubenea????? hivi unajua jamaa hawezi hata kusoma vizuri?? unless kama unataka shanga
 
Kwanza niseme binafsi simwitaji EL kuwa mpeperusha bendera ya CHADEMA 2020, ila kama anataka asitafishwe siasa kwa lazima agombee.

Ila kwa ujumla naangalia tunavyojipanga na tunavyoenenda ndani ya chama chetu cha CHADEMA, hivi ni nani anaweza kupeperusha bendera yetu 2020?

Ukiangalia kwa macho ya nyama hupati hata mmoja labda itokee kama 2015. Kama Dr. Slaa ambaye tuliamini alikuwa na nguvu ya kuitoa CCM bila jasho kabisa, kwa sasa nani anafikia hata nusu ya Dr. Slaa pale kwetu?

Ni mawazo tu haya.

Hebu tuchangie kwa utulivu.
Baba yako anafaa
 
Sugu

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Kwanza niseme binafsi simwitaji EL kuwa mpeperusha bendera ya CHADEMA 2020, ila kama anataka asitafishwe siasa kwa lazima agombee.

Ila kwa ujumla naangalia tunavyojipanga na tunavyoenenda ndani ya chama chetu cha CHADEMA, hivi ni nani anaweza kupeperusha bendera yetu 2020?

Ukiangalia kwa macho ya nyama hupati hata mmoja labda itokee kama 2015. Kama Dr. Slaa ambaye tuliamini alikuwa na nguvu ya kuitoa CCM bila jasho kabisa, kwa sasa nani anafikia hata nusu ya Dr. Slaa pale kwetu?

Ni mawazo tu haya.

Hebu tuchangie kwa utulivu.
Kwani nyinyiemu mtamsimamisha nani?
 
David Kafulila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lisu atosha, haiba na utashi wake kisiasa unaonekana.Mikikimikiki ya kampeni majukwaani ataweza.Uwezo wa kujenga na kujibu hoja kwa washindani wake anao.Atafaa vizuri CHADEMA wakimpa ridhaa ya kupeperusha bendera yao kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Huyo anafaa kwenye viwanja vya mahakama tu manake ana nyota ya kesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom