Recent content by Mkuu Maua

  1. Mkuu Maua

    JamiiForums Tanzania Hii kweli ni New York ya Marekani ?

    Kulikua na haja gani kusema umechili sana braza
  2. Mkuu Maua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume asizidi miaka 40

    Ndoto zangu zinaenda kutimia nilikua natafuta mtu kama wewe nimeku pm tuyajenge.
  3. Mkuu Maua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeombwa namba na sijatafutwa hadi mida hii

    Sina vocha ma mtu nitakutafuta usijali
  4. Mkuu Maua

    JamiiForums Tanzania Kuwa mweupe hakukufanyi uwe mzuri

    uyo ni trans mkuu
  5. Mkuu Maua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Mbona umemsahau haszu
  6. Mkuu Maua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulipokua wadogo Nilikua nikishindanishwa na dada zangu kukatika.

    Ivi unakuaje na mtoto bwabwa, Mi kiukweli kua na mtoto kama uyu ni bora niue niwe jela tu
  7. Mkuu Maua

    JamiiForums Tanzania Chuo cha St Joseph University cha Dar kinafaa kusoma Engineering?

    mwaka juzi walichukua mpaka two ya 12
  8. Mkuu Maua

    JamiiForums Tanzania Chuo cha St Joseph University cha Dar kinafaa kusoma Engineering?

    DIT , NIT hauwezi kukosa
  9. Mkuu Maua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Nina shangazi yangu ana 45, nikuunganishe nae.Ana mapengo mawili tu
  10. Mkuu Maua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Mungu amesikia kilio chako
  11. Mkuu Maua

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Aya namba A zimepata mkombozi
  12. Mkuu Maua

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

    kabla sijafa mnikumbushe niwe muizilamu, nikaone hao mabikra nawaahidi sitofanya chochote ntawaangalia tu
  13. Mkuu Maua

    JamiiForums Tanzania Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Hii ni ukweli kabisa niliona mfano ajira za TRA zilivyotoka
  14. Mkuu Maua

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa UDART tukio la abiria kupanda mwendokasi bila kufuata utaratibu

    Mwendokasi imejengwa kwa gharama kubwa lakini kituoni unasubiri mpaka dakika 40 ndo gari inapita
  15. Mkuu Maua

    JamiiForums Tanzania Mnataka kunambia serikali haijui kuwa Bakhressa na MO wanawalipa watu Elfu tatu mpaka elfu nne kwa siku?

    Umenikumbusha mbali nishawai kwenda pale buguruni. Nilibeba viroba kuanzia saa 3 asubui mpaka saa 12 jioni alafu ela niliyokuja kupewa nilitamani kulia.
Back
Top Bottom