Pia hili suala nchi za kiafrika zinatakiwa kupaza sauti na kuitenga afrika kusuni kwa mambo matatu yaani siasa uchumi na kijamii haya mambo yakifanywa bila unafiki hakika serikali ya Zuma watajifunza kuwa ubaguzi hauna nafasi tena kwa dunia ya leo.
Leo asubuhi katika katisha zangu shambani bibi Anna alikuwa ana palilia mahindi shambani lakini alionekana mchovu sana katika kufanya kazi kwake, kama mtz muungwana ikabidi ni mwulize bibi kulikoni jibu lake kwangu mjukuu wangu nimechoka nina miaka 70 lakini bado nateseka na kulima bora niende...
Hapo sasa kazi ianze na ifanyike kwani kupiga kura ni haki ya kila mtz, kumbe serikali lnatakiwa kuwatimizia haja watz wote wenye sifa za kupiga kura waweze kutimiza haki yao ya msingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.