Recent content by Mkurya wa Tarime

  1. M

    Sikujua majibu ya kipimo cha HIV yanaweza kunitoa jasho hivi

    Utafukiwa kijana, bora uoe au acha kabisa
  2. M

    Ni mtu gani unayemjua aliwahi tajirika kutokana na Foreverliving au kupata safari wamazosemaga Korea na Singapore? Ushuhuda Plz

    Kuna jamaa wa q net kawashika wana vibaya sahii kanunua harrier kaipiga hadi chatter la q net
  3. M

    Ni mtu gani unayemjua aliwahi tajirika kutokana na Foreverliving au kupata safari wamazosemaga Korea na Singapore? Ushuhuda Plz

    Jamaa wako tayari kupiga picha na gari lililoegeshwa tu barabarani ili wakushikie masikio.
  4. M

    Why great billionaires ni Tech innovators?

    Technology ina tabia ya kuhusianisha matokeo, km mgunduzi wa gari si mjuzi wa uchimbaji wa mafuta, Hata akina Bill Gates walivumbua vyakwao lakini anamhitaji mtu na nishati ili uvumbuzi wake uwe na tija so kama ilivyo ecosystem kwa wanyama na mimea, technology inahusianisha.
  5. M

    Why great billionaires ni Tech innovators?

    Technology pays, Kuna watu wana viofisi kkoo vina kompyuta na printer Kwisha,jioni anafunga hesabu laki 5 why can't they be billionaires?
  6. M

    Bei ya pikipiki aina ya Boxer BM 150

    Mkuu Boxer zimepotea sokoni, ukizipata sahii zinakwenda mpk 3m.
  7. M

    Tamko la Rais Magufuli juu ya mimba za wanafunzi linapingana na sheria zilizopo

    Mh. Rais yuko sahihi kabisa, hata wazungu wanakamsemo kao " spare the rod -spoil the child.
  8. M

    Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nchi hii bana full of episodes,sijui ikitoka hii itafuata ipi!Nawaza kwa sauti kuu.
  9. M

    TUJISAHIHISHE: Kwanini heshima ya mwanaume inashuka nyakati hizi?

    Mkuu umenena vyema, hivyo vijimisemo ni vya wanawake ambao upepo umepoteza jahazi.
  10. M

    Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Me napita tu nsije ambiwa nanuka ng'ombe bure! :llama::llama:
Back
Top Bottom