Recent content by MKURYA NO1

  1. M

    Mbunge wa Bunda Vijijini stuka, muda umeisha

    P Kusema ukweli BUNDA VIJIJINI hatuna Mbunge.......hilo pia ni daraja ambalo limekata mawasiliano ya kutoka kijiji cha misheni kuelekea vijiji vya Sarawe, Hunyari, Kihumbu na Mariwanda..kuna barabara ya kutoka Nyamswa kwenda Mugumu iliyokuwa inajengwa kwa lami mpaka leo ina miaka karibu 10...
  2. M

    Tanzania Postal Bank, Tanga Branch tumechoka na huduma mbovu

    Wewe itakuwa umechanganya TPB BANK na POSTA.....TPB saiz wanajitahidi sana ukarabati na miondo mbinu na majengo...hata kwa hapa Tanga nazani TPB ndo benki ndo yenye tawi zuri na mazingira saaafi kuliko benki zingine. Nilienda Songea ,Mbeya, Mwanza, Dodoma,na Dar matawi yao yako vizuri sana. Pia...
  3. M

    Tanzania Postal Bank, Tanga Branch tumechoka na huduma mbovu

    Utahama uende wapi ndugu serikalini ndo kwenyewe kuliko huko kwingine benki nyingi za private siku hizi zinafilisika unaweza upoteze pesa zako lakini serikali haiwezi filisika. Mi TPB sitoki aiseee
  4. M

    Tanzania Postal Bank, Tanga Branch tumechoka na huduma mbovu

    Mmmh ujue mambo ya Technology ndugu zangu yana changamoto nyingi hata bank zingine huwa tunaambiwa Your Financial Institutions is not available muda mwingine..mimi pia nina akaunti TPB na niko Tanga hapa mbona huduma zao nzuri sana na pale ndo watu wa UMOJA SWITCH tanga mzima tunapopata huduma...
  5. M

    Tanzania Postal Bank Kijitonyama ni kero kwa wateja

    Na kweli... Mimi naenjoy kuwa nao wala sijutii kuwa Mteja wao.
  6. M

    Tanzania Postal Bank Kijitonyama ni kero kwa wateja

    Hahaha Hahaha mzee we kweli uko nyuma.....vitabu zilipendwa saiz wako vizuri mno.... Unapewa kadi papo Kwa papo na unaungwa na Mobile banking hakuna tena vitabu.
  7. M

    Tanzania Postal Bank Kijitonyama ni kero kwa wateja

    Huyu jamaa atakuwa ametumwa na benki pinzani kufanya uchafuzi...Huwezi kuita benki kubwa na tegemeo la serikali na wananchi kuwa ni kibanda cha MPESA...... ... Pili Kuna njia za mteja kutoa malalamiko kama mtoa huduma hajakupa huduma unayohitaji..... Mteja makini ungetoa maoni yako pale kwenye...
  8. M

    Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    Umenena mkuu..... Ukiangalia Kwa mwaka huu mabenki mengi yamepiga hasara na kuporomoka Kwa faida ikiwemo CRDB na NMB lakini hawa jamaa balance sheet zinapendeza kila kukicha maana yake ni kwamba wako vizuri na wana wateja wengi Kwa sasa.....Ila Pia kama ulivyo sema UZALENDO KWANZA.... hii ni...
  9. M

    Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    jodoki uko vizuri.... Acha na mimi nianze kufanya kama wewe.
  10. M

    Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    Hiyo benki ndo habari ya mjini Kwa sasa.....
  11. M

    Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    Fulweh Nimekusoma vizuri......Mimi nakumbuka niliomba kwao Mkopo ndani ya siku 4 nikapata Mkopo wangu kupitia mshahara.... Baadae nilivotaka kwenda chuo kikuu wakanipa Mkopo mwingine kupitia mfuko wangu wa pensheni Kwa riba ya asilimia 7.5% Kwa Mwaka hivo nikawa na mikopo miwili at once ...
  12. M

    Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    Kuna wadau hapo juu bado wanachanganya shirika la posta na benki ya posta ambayo Kwa sasa inaitwa TPB BANK PLC..... aisee TPB saiz wako vizuri sana hata ukifuatilia takwimu za mabenki bora Tz Kwa sasa nayo imo.... Wana akaunti za kila aina ,wanatoa mikopo mbali mbali Kwa riba nafuu nazan...
  13. M

    Bank ya Posta nashindwa kutoa hela kisa haipatikani

    chikaka nakubaliana na wewe mimi Pia ni mteja wao nina akaunti yangu hapa TPB tawi la kahama .....ninafurahia huduma zao za ATM na TPB POPOTE.... Huwa sina haja ya kupanga foleni popote pale natoa pesa ...Japo jana walituma meseji kuwa watakuwa urekebishaji wa mitambo ili kuboresha huduma zao
  14. M

    TRA Posts........

    kila alie omba kaitwa muraaaaaaaaaaaaaaa ili mradi una 3.5 na interview ya kwanza ni mtihani muraaaaaaaaaaaa ila kama ulivo elezwa hapo juu kama huna asili we pumzika hukohuko tu,pale ni kichalii zaidi,kama hutaki njoo uone. Mi mdogo wangu kaitwa yuko tarime nimemwambia asije...
  15. M

    Swali la Ugomvi: Kwanini unaikataa CCM?

    Naikataa kwa sababu imelitafuna taifa muraaaaaaaaaaaaa na kutuacha makabwera tukitaabika kwa maisha magumu.
Back
Top Bottom