Recent content by Mkurubuti Mkurubuti

  1. Mkurubuti Mkurubuti

    Reli ya Standard Gauge kutoka Dar-Mwanza kuanza kujengwa Disemba, 2016

    Heko serekali yangu kwa jitihada nzuri mlizozifikia. Kwani ujenzi huo ni mwokozi kwa nchi za Africa mashariki na pia sisi watu wa kanda ya ziwa.
  2. Mkurubuti Mkurubuti

    Wananchi wakiamua CCM inaweza kungo'ka 2020 bila hata kuwa na tume huru ya uchaguzi

    Nitakubaliana na wewe tu iwapo elimu juu ya siasa itatolewa ipasavyo kuanzia ngazi ya familia mpaka kitaifa. Lakini adui yangu sio chama chochote kile nchini bali ni wanasiasa wasio na muelekeo wa dhati kuitumikia nchi na wapigakula wao. Wengi ni wahubili wa siasa za matumbo yao na vyama vyao.
  3. Mkurubuti Mkurubuti

    Meya Jacob amkaribisha DC Polepole

    Safi sana Mh. Meya pamoja na Mh. Polepole kwa kuonyesha mfano wa siasa bora.
  4. Mkurubuti Mkurubuti

    Tanzania imekuwa nchi ya Umbeya

    Nafuu tatizo limeeleweka. Basi endeleeni kulitatua polepole.
  5. Mkurubuti Mkurubuti

    UKAWA wakubaliana kuwanyima mafuta wakuu wa Wilaya

    Nafikili uchaguzi umeisha. Sasa ni wakati wa kushilikiana kuijenga Tanzania bila ya kujali vyama vyetu. Maana sote dhamila yetu ni kuiona Tanzania ikipiga hatua kubwa kimaendeleo.
  6. Mkurubuti Mkurubuti

    Wananchi wa Rungwe mkoani Mbeya wakataa madawati baada ya kubaini yametolewa na mtu wa CCM

    Hii ni hatari sana. Kumbe somo la siasa linabidi lifundishe kwa mkazo zaidi.
  7. Mkurubuti Mkurubuti

    Misitu inaangamia, hasa misitu ya asili, Mawaziri fofofo

    Unafikili wanawaza hayo, kama gesi na mafuta wamepandisha kodi. Zaidi wanahamasisha matumizi ya kuni na mkaa yashamili.
  8. Mkurubuti Mkurubuti

    Magufuli kachukue Wanyarwanda uwaajiri watusaidie sehemu ambako kuna watendaji wabovu

    Haiwezekani kwenye nchi ya watu milioni 50 na ushee hivi tuwe na mawazo ya kuhazima hazima. Huu ni muda wa kutumia rasilimali zetu tulizonazo kwa umakini. Na kama wanapwaya jibu ni rahisi chomoa weka ambao wanaweza kuendana na kazi husika. Lakini sio kuwaza kuwaajiri wanyarwanda wakati kuna...
  9. Mkurubuti Mkurubuti

    News Tip: Tani 5 za meno ya Tembo zanaswa maeneo ya Kimara, Dar!

    Tani 5 !! Hii ni hatari sana. Inamaana uhai wa tembo wengi sana umepotea. Bora wakamatwe tu. Ila mi naomba wabanwe ili tuweze jua nani kawatuma kufanya biashara hiyo .
Back
Top Bottom