Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandishi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya,
baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi, wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao,
makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu,
watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.