Recent content by Mkumbapanya

  1. M

    Mh.Tendega na Jimbo la Kalenga

    Habari ya Jioni wanajamvi, Jimbo la Kalenga lina historia ya kipekee katika nchi yetu,ni jimbo ambalo haijawahi tokea mbunge akatawala vipindi viwili mfurulizo,pia ni jimbo ambalo halija wahi pata mmbunge Mwanamke,pia ni Jimbo ambalo kiuchumi lilikuwa juu kitaifa ,kutokana na kutoa...
  2. M

    Kalenga yatabiri anguko la CCM 2015

    Jimbo la kalenga ni moja ya majimbo machache Tanzania ambayo wabunge huwa hawakai za zaidi ya kipindi kimoja!so ni jimbo gumu ndani ya ccm pia ni ngimu mbele ya wapiga kura! ni nfasi ya pekee kwa cdm kuonesha uwezo wao,ili waandike historia mpya ndani ya jimbo!
  3. M

    Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    kama kweli hiyo namba ya simu haitumii imekuwaje aiweke tena?
  4. M

    Fikra Mbadala: Lowassa kama Rais itakuwa ni Kikwete 2.0 (Marudio ya 2005)

    kushindana na utawala si kazi ndogo kama ambavyo watu wamekuwa wakiota na kujifariji kuhusu 2015sijaona mikakati thabiti ya kuingia ikulu! katika nyanja zote ,kiuchumi,kisiasa, hata kijamii! no matter what CCM 2015 itabakit tu madarrakani
  5. M

    Jinsi ya kukata kiuno..

    nmeipenda hii shule!kupewa shule asubhi sio lazima ufanye majaribio wakati huohuo!!
  6. M

    Nina vigezo vyote

    kujikubali ni ishu nyingne na kuwa mzuri ni suala lingine maana anavosema ni mzuri its ok but ni mzuri dhidi ya nani? pia sijawahi sikia kuwa wema anatafuta mchumba but ndugu yetu anatafta mchumba kwa maana hiyo lazma awe na vigezo vya kuwa mchumba na ili uwe mchumba wa mtu lazima huyo mhitaji...
  7. M

    Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

    evolution of man bado inaendelea!pia hao hao mama zetu wanaofyatua mahandsome boy !!
  8. M

    Padre amjeruhi mpenzi

    kaacha kuhubiri neno la mungu yeye anahubiri meno!akome
  9. M

    Nina vigezo vyote

    nani aliekwambia wewe ni mzuri??ameangalia vigezo gani?mzuri kwa kip?sifa zote zipi?na hizo sifa zinamfaa nani??jua kuwa wanaume wanatofautiana kuchagua kila mtu ana sifa zake pia kila mtu anatafta maumbile anayoona yanamvutia!!piakuwa single kwa miaka mitano ni muda kidogo saana huo! vuta...
  10. M

    Mbunge aomba kuwe na chuo cha kufundisha wanaume kutongoza wanawake

    ukweli utabaki palepale kuwa kuna watu /wanaume wasio jua kushawishi ndo maana ndoa zinavunjika wanaume wangekuwa wanajua kuwaongoza wanawake katika maisha yao basi migogoro ya kindoa isingekuwepo! so si kila kitu si cha kipuuzi!!ni suala muhimu saana katka ustawi wa jamii yetu!
  11. M

    sababu za wanawake kuvaa surwali za kubana, taiti why???

    wafanya biashara huweka bidhaa zao maeneo ya wazi ili watu waone na waweze kuja na kufanya biashara nao/kununua it is called invitation to treaty! coming to our scenario wanawake wanavaa nguo hizo ili kuwa karibisha watu ambao watakuwa wanahitaji hiyo bidha "wear long enough to cover the subject...
  12. M

    Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

    hahahahahahhahah,!!!you made my day
  13. M

    UPDATE 1: Mkandarasi wa jengo liliporomoka na kuuwa ni Diwani...

    Kama ni la nhc basi watatueleza vizuri!nani alikuwa akiomba vibari kila baada ya kumwaga slab moja,!na ni nani alikuwa akiidhinisha hivyo vibali?nani alidesign mchoro? Mix desgn ya concrete ilikuwa class ngap? Nondo zilikuwa imported au local?curing ilifanyika ya kutosha?
  14. M

    MAWAKILI/WANASHERIA WATAKWENDA MBINGUNI kwa kupindisha huku UKWELI?

    Ya kaisali muachie kaisali na ya mungu muachie MUngu!kama wanasheria hawata ingia mbinguni basi ujue hukumu haitakuwepo!maana wanao jua sheria na namna ya kuhukumu hawatakuwepo!
Back
Top Bottom