Recent content by mkulima101

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Namna ya Kuukana Uraia wa Tanzania

    Shukrani kwa Maelezo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Namna ya Kuukana Uraia wa Tanzania

    Passport yake ya Tanzania inabidi kurudishwa Uhamiaji? Hakuna viapo vyovyote kwa mzazi as ni chini ya 18? Shukran.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Namna ya Kuukana Uraia wa Tanzania

    Habari za Majukumu, Naomba kufahamishwa namna/hatua za kufuatwa ili kuukana Uraia wa Mtoto Mtanzania aliyepo Tanzania. Mzazi wake Mmoja ni Mtanzania na mwingine sio Mtanzania. Natanguliza Shukrani. Nyongeza: Mtoto amepewa Uraia wa Mzazi Mwingine ambaye Sio Mtanzania.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mke wa Mfalme hatakiwa kusaliti ndoa yake

    Wanao na mama zao wanaendeleaje?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamuziki nmeshindwa kumwelewa. Sijui wenzangu wenye kipaji

    Ile zima zima??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada hii iPHONE 6

    Screen inakufa. Wahi haraka ku sync data kwenda iCloud. Muda wowote itazimika na haitowaka tena hadi ubadili screen. Na ukibadili screen haitokuwa tena kama zamani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania IMF: Kuna viashiria uchumi wa Tanzania unaendelea kushuka

    DW ya Said Michael?? Si Tuliambiwa sio Wazalendo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi Waafrika (Tanzania) ukweli huu tunaukwepa?

    Kuongezea, Sisi tunarukia hatua, badala ya kupitia kwenye hatua. Mfano: Usafiri, walianzia kwenye Gari za farasi, wakapata changamoto, wakaingia kwenye gari za mvuke wakapata changamoto, ikaja gari za diesel na petrol wanapata changamoto zake, now wanaingia kwenye gari za Fuel cells, Hydrogen...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    2,239,043,466,550.60 Shillings
Back
Top Bottom