Kwa anaejua kitu inaitwa GN inayozuia malipo ya mkandarasi
Ndugu nisaidieni nimefanya kazi ya zabuni ya ujenzi nimeambiwa malipo mpaka waziri Wa fedha asaini GN. kwa anaejua hii kitu anieleweshe. Ofisi ninayodai wanasema hawajui Siku ya kusainiwa hiyo GN ni nini?
Kuna wakati unawaza bora bei ibaki hiyo wanayotaka lakini chakula angalau basi kiwe cha moto. Chakula kinapikwa asubuhi unakuja kuuziwa SAA 12 jioni. Sio haki in ujambazi usiotumia silaha
Ndugu zangu mtafutaji hachoki. Naomba msaada wenu kwa yeyote aliyewahi kufanya biashara ya kuuza chupa tupu za plastiki zilizotumika.
Bei ya wanunuzi viwandani, majina ya viwanda na eneo wanakopatikana.
Najua soko kubwa lipo DSM.
Natanguliza shukrani kwa atakaetoa ushauri wake. Asanteni
Ndugu. Kwa kufikiri kwangu, naona kuwa soko rasmi la Asali kwa Tanzania bado ni changamoto. Kwa sasa ni kuwa wafugaji wengi tunauza ktk soko la mtaani.
Kama uko mikoa ya nyanda za juu kusini nitumie ujumbe nikuelekeze MTU anaenunua kuanzia Lita 20.
Hakikisha uwe na Asali iliyotazamwa kwa...
Wanajamii Niko mikoa ya nyanda za juu kusini.
Nashukuru sana kwa watu wanaochangia elimu kwa jamii kupitia jukwaa hili. Ninalo shamba ambalo sijaliendeleza ekari NNE. Ninapenda kufanya kilimo cha tija. Naomba kwa ambaye ana uzoefu Wa green house na gharama zake anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.