Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesitisha mkutano wa injili uliotarajiwa kuanza Machi 19 hadi Machi 22 mwaka huu na Mchungaji Dana Morey kutoka nchini Marekani, baada ya kubaini kuwepo kwa viashiria vinavyodaiwa kuhusishwa na mapenzi ya jinsia moja.
Akizungumza na waandishi wa habari...
Kwa sasa bei ya machungwa juu ya mti shambani ni Tsh 25 mpaka 30 ukija ukiweka gharama za uchumaji inafika mpaka 35 ila ikifika mwezi wa 8 hua bei zinapanda kwa kasi na kuna kipindi bei zinafika mpaka Tsh 100 kwa chungwa juu ya mti
Atafute mtu wa sokoni kwenye soko la matunda awe anampelekea machungwa halafu Aje Muheza Tanga huu ni msimu wa machungwa , kwa hela yake hiyo hatakosa kununua machungwa 5000 na ajitahidi chungwa lifike sokoni kwa bei ya Tsh 50 au 60 hata akiuza kwa bei ya jumla ya Tsh 80 hatakosa Tsh 20 ya Faida...
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amemtolea wito spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson kulitilia umuhimu suala la watu kupotea ama kutekwa badala ya kupuuza kwa kuwa bunge ni chombo cha uwakilishi na kuwatetea wananchi.
Amesema hilo si suala la kisiasa na inakatisha tamaa...
Hiyo shule kwa waliosoma pale kuanzia mwaka 2005 kushuka chini wanaijua vizuri
Yaani hiyo shule ilikua na historia kila baada ya miaka miwili au mitatu inatokea vurugu kubwa
Mimi nimesoma form one mpaka form four
Wakati tunaingia form one mwaka 2002 tulikuta wanafunzi waliotutangulia...
Nilikua nina biashara ya uwakala na Kaduka kadogo ka vyakula hapa mtaani na nilikua napata Riziki ya kulisha watoto na kulipa kodi si haba, basi kuna watu wawili wakafungua biashara kama yangu kwa fujo vitu wanashindana kuuza bei ya promotion.
Mimi nikaona isiwe tabu nikatoa mtaji wangu nika...
Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba
Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.