Recent content by mkukuta79

  1. M

    Je, ni kweli wabunge wa Chadema waliohamia CCM ni wale " laini laini" ambao hawajawahi kukaa jela au kulala polisi?

    Waitara amefanya kurudi kwao hana jipya nami nakubaliana na mtoa kwamba kwamba ni kweli lainilaini Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Abdul Nondo ajibu upotoshaji wa Kafulila dhidi ya hoja za Zitto Kabwe

    Abdul Nondo ndio katoa fact kabisa kuliko yule jamaa mpika figure.. Binafsi nilidhani wachambuzi wetu watusaidie kudadavua maudhui ya riport yenyewe badala ya kuanza kukinzana wao kwa wao na hapa ieleweke kosa limeanzia kwa Kafulila kumjibu Zito wakati mh Zito yeye alijiegemeza kwenye hoja ya...
  3. M

    Mazito ripoti ya CAG - Janeth Rithe: Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’... Serikali hoi kwa madeni! Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT

    Jambo la msingi ni kuangalia maudhui ya hoja habari ya nani kaandika ni nonsense Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    Safi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

    Hakuna kitu kama hicho wewe TL hawezi ongea uongo akiwa Duniani uko Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

    We ndugu hivi umesoma hata paka drs la 7 kweli mbona u aongea Ukoto sana kama msukule ulionyimwa chakula? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    Bank inalipa watu hewa siku hizi? Lissu si hajulikani alipo? Analipwaje mtumishi hewa? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    Huo ndo u juha na matumizi mabaya ya ofisi unawezaje kumlipa mshahara mfanyakazi akiwa hayupo? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    RC Tabora, ingilia kati kwa askari wa JWTZ kupiga raia ovyo

    Ndo maana uchumi unaporomoka badala ya majeshi yetu kufanya ujasusi wa ki uchumi kutwa kulipiza kisasi kwa raia.. na kwa mfumo huu inakuwa shida sana kupata wahalifu wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Ndugai amjibu Lissu kuhusu madai yake; Adai Lissu anadaiwa hela

    Ptz, Kumbe anajulikana alipo ndo maana kalipwa haki zake zote akiwa nje ya Bunge tofauti na tulivyoaminishwa zamani kwamba ajulikani alipo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Nodius Rwegoshora: Ansbert Ngurumo acha kupotosha kuhusu viongozi wa CHADEMA wanaohama

    Kwa hiyo wewe ulivyo zuzu ulitaka wahame au kuunga juhudi bila kupika sabababu? We bado sio mwanasiasa ulieiva na kamwe usitake kujilinganisha na Ansbert Ngurumo ni mtu mdogo sana wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dtk. Kigwangalla amtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa, Alex Kimbe kwa ujangili baada ya kuua chatu

    Upuuzi mtupu kwa hiyo nikiingiliwa na joka ndani kuliua paka nifate kibali? Yaani ma viongozi mengine mapuuzi tu utadhani hayana shule Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Narudia tena: Ili CHADEMA ipone, Mbowe amwangukie Dr Slaa miguuni

    Acha ukasuku wewe CHADEMA ina wafuasi zaidi ya Milioni 20 hata Mbowe akiondoka haiwezi kufa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

    Kwa hiyo wewe mwenye Akili mbilikimo unadhani wanaounga juhudi kwa sasa wanaamua wenyewe au wanarubuniwa? CCM ilishakosa nguvu ya hoja imebaki mauzo na vitisho tu na bahati nzuri wananchi wameshabauni mchezo ndo maana uungaji wa juhudi siku hizi sio habari kama zamani Sent using Jamii Forums...
  15. M

    Ile mihimili imempata CAG wao wa kuwalinda

    Na ktk Historia tangu tupate uhuru hii report ya juzi ya Si ei jii ndo imevunja ungo kwa kutokuwa na mvuto kuliko ripoti zoote kiasi kwamba kwa mvuto lipoti imezidiwa hata na corona Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom