Ile mihimili imempata CAG wao wa kuwalinda

Ile mihimili imempata CAG wao wa kuwalinda

Ikumbukwe CAG aliyeondolewa ofisini Prof Assard alifichua upotevu wa trillion 1.5 za umma, aliibua uvujaji wa mabilion ya fedha zilizotumiwa na Ndugai katika matibabu na mihimili hiyo ilikasirishwa na uchafu huo uliokuwa unaibuliwa na kumvurumisha Assard ofisini.

Huyu CAG wa sasa kweli anafuata maelekezo ya mwajiri wake kama alivyoelekezwa siku ya kiapo. Katika ukaguzi wake alichokiona ni upotevu wa hizo milioni 193 za mishaha hewa! Poor CAG never!View attachment 1400385

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia eti kwenye shilika la ndege ( atcl ) haruhusiwi kukagua ,hivi ni kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ktk Historia tangu tupate uhuru hii report ya juzi ya Si ei jii ndo imevunja ungo kwa kutokuwa na mvuto kuliko ripoti zoote kiasi kwamba kwa mvuto lipoti imezidiwa hata na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinishangaza pale aliposema. Bungeni tutaileta hii ripoti kama ilivyo, hatutabadilisha kitu...
Inaonesha walikuwa wanabadilisha wakishakabidhiwa ndio maana CAG aliyepita alikuwa anaita waandishi wa habari na kutoa Muhtasari wa kilichomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anachofurahisha jiwe ni kila afanyacho hata kibaya huwa anaitoa siri bila kujijua kuwa ana panga kufanya au kafanya na mambo yanakuwa hadharani.
Nakumbuka kauli kuhusu kumshughulikia mtu anayehisiwa kuwa msaliti na kilichotokea masaa machache baadae kule Dodoma
 
Back
Top Bottom