Narudia tena: Ili CHADEMA ipone, Mbowe amwangukie Dr Slaa miguuni

Haya kapate buku7, amwaangukiye Slaa kwa lipi? na unatata data za chama mtandaoni we lofa eti? huyu Slaa ni nani hasa? Unaacha kujadili mambo ya kambi yenu unajifanya kiherehere kwenye nyumba ya jirani. Kwa tarifa yako chadema ndiyo chama kilicho na wanachama wengi kuliko chama chochote tz kwa sasa.
 
Magufuli na CCM ndio wanalazimisha kukubalika, hivyo waendelee kumtegemea Slaa ili wapate mvuto.
 
Haya kapate buku7,amwaangukiye slaa kwa lipi?na unatata data za chama mtandaoni we lofa eti? huyu slaa ni nani hasa? unaacha kujadili mambo ya kambi yenu unajifanya kiherehere kwenye nyumba ya jirani.kwa tarifa yako chadema ndiyo chama kilicho na wanachama wengi kuliko chama chochote tz kwa sasa.
Huyu Mbowe kwa nini asifukuzwe jamani? Gia zake za angani zinaua chama kabisa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema CCM imuangukie Slaa angalau ndie mwenye uwezo wa kufikiri kuliko hao wengine wenye ushauri mbovu wa kuimarisha chama Kwa manunuzi, polisi, wasiojulikana sasa hivi CCM inamtegemea Mbatia baada ya mbinu zote za kuuwa upinzani kubuma nayo itabuma
 
Ktk vita ukiona askari wa jeshi pinzani anakushauri kuwa ili mshinde vita mumtimuwe mwongoza vita wenu ujuwe anamwogopa kwa plan zake za ushindi kwahiyo anataka mwongoza vita boya
 
ktk vita ukiona askari wa jeshi pinzani anakushauri kuwa ili mshinde vita mumtimuwe mwongoza vita wenu ujuwe anamwogopa kwa plan zake za ushindi kwahiyo anataka mwongoza vita boya
sikia wakati mwingine tunapenda vita kupambana na jeshi lenye changamoto,lakini jeshi la mboe ni la hovyo sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noooooo why Slaa, Wait ! Let’s wait time is the best teacher. Nyumbu, nyumbu, nyumbu .... the season is due, let’s get ready!
 
Wewe mjinga kabisa, huoni ukweli. Nakwambia hata sasa mkiweka mwana CCM nachadema ikaweka jiwe, chadema itashinda. Cha msingi kuwe na uwanja huru wa vita.
Utamfungaje mshindani wako mikono na miguu, halafu unachukua refa ambaye ndiye mmiliki wa timu yako achezeshe mchezo, kamisaa ni wako. Anakupa ushindi wakati mpinzani kafungwa asiweze kurusha ngumu halafu kama zuzu unarukaruka unashangilia unajiita bingwa.
Weka mazingira huru ya mchezo uone kama utapata hata robo ya ushindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Wabunge wa CHADEMA walishinda kwa Tume ipi?
 
Back
Top Bottom