Recent content by mkukuta

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba aeleza atakavyofuta nyayo za Zitto, Maalim Seif

    Hivi Lipumba anapambana na Act badala ya CCM kwa masilahi ya nani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania CUF yajitoa rasmi UKAWA

    Mi naijua CAF ya mpira tu au kuna CUF chama cha siasa? Maajabu ya mwaka
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa mheshimiwa Tundu Lissu

    Maneno mazuri Askofu japo binafsi nadhani kitaalamu mtu akijaza Nyongo ni sharti aiteme ndipo ashushe hasira hatimae msamaha ndio ufuate na akisamehe atakuwa kasamehe lakini akilazimisha moyo usamehe wakati bado amejaa sumu itakuwa kazi bure, so let him give out his biles first,, hili kulielewa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Friends of Lowassa: Angeomba ushauri asingerudi CCM walikomdhalilisha. Bora angestaafu siasa

    Hivi Mandela angeangalia masilahi ya familia yake angekubali kufungwa jera miaka 27? Wa tz ni waoga sijapata kuona
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sosopi hana adabu

    Ukisikia ulemavu wa akili ndo huo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Jeshi la Polisi halijamkamata Mwita Waitara kuhusiana na sakata la Tundu Lissu?

    Hakuna marefu yasiyo na ncha n time will tell
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

    Tanzanian Prophet huyo wewe ata aombe kwa kupiga magoti tutampa tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

    Watoe namba watu tumchangia paka atakaposema basi mwenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania DC Kigamboni: Serikali ya Tanzania haina askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa Lissu

    Kama Samira Marshel alianguka na ndege na akapona itakuwa Lissu? Hapo hakuna hoja
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro amshukia Tundu Lissu

    Tatizo upande fulani haunaga hoja za msingi zaidi ya kuongea maneno ya kwenye kanga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lissu muongo! Rais Magufuli alisema neno kuhusu kushambuliwa kwake

    Tatizo la kufikiri kwa kutumia makalio
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM akiwakilisha Vijana wa UVCCM TAIFA Mussa Mwakitinya akitoa maelekezo kwa vijana wa uvccm kuwapiga wapinzani

    Mi sitaki kuamini kama nipo Tz kwenye kisiwa cha Amani nahisi ni kama nipo nje ya nchi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu anaichafua nchi yetu au anasema ukweli wa kilichomtokea? Je, Serikali yetu iwe Proactive kusema ukweli au Reactive kumjibu?

    Mayala andiko lako hili naliweka kwenye kumbukumbu za maandiko bora kabisa kuwahi kutokea hapa JF tangu kuanza kwa page hii miaka kadhaa iliyopita, Hongera brother you are also the great thinker like what others are
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu’s new mission puts Tanzania’s foreign policy to test

    It is the most attractive writting that i ever met it before, you a great thinker mr Ngurumo n thanks a lot for educating/introducing us some beneficials materials
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu kuwekwa kizuizini kwa mambo anayofanya?

    Hoja Finyangifu kuwahi kutokea tangu JF imeumbwa
Back
Top Bottom