CUF yajitoa rasmi UKAWA

CUF yajitoa rasmi UKAWA

CUF haina wanachama....haina ofisi....walibaki ni wabunge na madiwani ambao nao watafanya maamuzi yao mapema tuuu

2020 wabunge wote na madiwani waliosalia CUF kwa mda kusubiria uchaguzi watahamia ACT au vyama vingine lakini siyo CCM na kubakia cuf ya kifala ya Lipumba
 
Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.

Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.

"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.
Seneni lipumba amejitowa ukawa na sio cuf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipumba na Halifa Wana ushawishi gani kwa waTz ?!
CUF lazima iende kwenye kaburi la sahau . Lazima iende ziliko UDP & TLP ambao nao walitumika na Ccm kuhujumu upinzani . Wanavuna walichopanda (huwezi kusaliti mapambano ukawa salama)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna CUF Siku hizi
Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.

Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.

"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo CUF Lipumba haistahili kuwa UKAWA. Aanzishe ushirika na CCM B wenzake k.m John Cheyo, Mrema, Dovutwa n.k

Hahaha ccm bana akili zenu ndogo sana cuf ipi ilikuwa ndani ya ukawa?[/QUOTE
 
Aache upuuzi wake huyu CUF Propesa haijawahi kuwemo ndani ya UKAWA hata kwa sekunde moja. Unajitoaje katika umoja ambao hukuwahi kukaribishwa au kuomba nawe uwemo kundini!? 😳😳

Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Wananchi CUF, Khalifa Suleiman Khalifa, amesema wao kama chama cha Wananchi wameshajitoa kwenye mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi 'UKAWA' kwa madai upo hoi na hauna msaada kwao.

Akizungumza na EATV Khalifa amesema kwamba huo Umoja wa Katiba ya Wananchi kwa upande wao wanaona kama haupo, hivyo wao wameshajitoa huko.

"Ukawa wenyewe upo hoi bin taabani. Haupo mimi sidhani kama upo" amesema.
 
CUF itakuwa kama UDP au TLP. Lipumba ndo kapotea kwenye siasa ya nchi hii
 
Mi naijua CAF ya mpira tu au kuna CUF chama cha siasa? Maajabu ya mwaka
 
Eti lipumba ndio muasis wa ukawa? Nani kasema
Idea nzima ilitoka kwa slaa wkt huo yuko cdm.
Lipumba ndio Muasisi wa Ukawa Na Hata Jina hilo amelitohoa Lipumba kwa mujibu wa Maalim Seif Na Mbowe

Siasa ya Chadema Haina Mtabiri

Usishangae Prof Lipumba akawa ndio Mgombea wa Chadema 2020 akawa anaitwa 'Rais wa Mioyo yetu'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom