Kwanini ujipe shida zaid,kama kuna uwezekano kafanyie kwenu au kwa Ndugu unae elewana nae au huna rafiki ukakae kwake then unaenda field?kama yupo Rafik mweleze hali halisi,na istoshe ndo utakapojua kipimo cha urafik wenu
Kuna mtu hivyo hivyo alilazimishwa kavu, jamaa akabisha sana akasema wana mda mrefu hawajaonana kimwil na istoshe alikua safara,hata kupima hawajapima na mwanamke akadai anataka mimba,jamaa akamwambia hajajipanga na hana pesa kwa sasa avumilie kidogo mbaka mwakani istoshe alikua safar,nanahofia...
Ifike Mahali watanzania tujikite kwenye vipaji tulivyo kuanavyo ,tuvikuze kwa gharama yeyote itatusaidia kujiajiri au kama umegundua unafani ebu komaa na fani yako hiendane sambamba na kipaji ulichozaliwa nacho,tusidharau vipaji tulivyozaliwa navyo, au kipaj cha mtoto wako kikuze! Usimkatishe...
Kua bize na mambo yako ,jenga msimamo wako wakutopenda mazoea hata ikitokea amekufanyia jambo afu likawa limepita, daima usirudishe moyo wako nyuma hata akija kukusemesha kua bize na mambo yako,be smart,focus shughuli zako zakukuongezea kipato,wataja kukuheshim na kukuogopa
Messege sent: na nichuki binafsi, nampa Hongera mkuu wa mkoa wadodoma unafanya kaz vizuri sana istoshe unapiga sana vita tabia ya kuleteana fitina na kuchongeana kwa interest za mtu binafsi ili kumuharibia mwingine ma ofisin,Hongera baba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.