I
Ipo Mkuu.Ya mwaka 2015 ila ilifanyiwa maboresho mwaka 2020 kuwaondoa makampuni ya Madini ambayo serikali ina shares.
Kupitia hii sheria CG ana mamlaka ya kukusanya any default ya Kodi kupitia kwa third part(Mtu anayefanya biashara na mdaiwa wa kodi). Na sheria ina mlazimisha third part kutii...
Nimesoma kuanzia juu hadi nilipofikia hapo uliposema mitihani isahihishwe upya halafu ifanyike standardization nikaacha.
Afya ya mtu haina standardization. Tatizo vyuo vya afya siku hizi vimekuwa vingi.
Matangazo kibao ya vyuo vya afya.Utasikia chuo kipo ghorofa ya sita jengo fulani...... Kweli?
Fundi wangu alinambia kama gari inamis kabla ya yote nimfate fundi yeyote anichekie vifuatavyo
Kwanza nikae nayo mpaka mafuta niliyoweka yaishe na kuweka mengine kwenye sheli nyingine, kama tatizo bado then
Plug then nozzles then
Coil then nije kwenye mafilter huko ikishindikana nimwambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.