Sasa napata Picha nasikia Mkapa alimwambia Magu kuwa Tumzuie Dangote asijenge bandari yale.
Picha linajifunua sasa inawezekana mgogoro upo kati ya Mkwere na Mmakuwa
Habari za majukumu wana jamvi.
Natamani kujua hawa watu wanaoitwa washauri wa Raisi ni namna gani wanapatikana?
Na je huwa wanastaafu? yaani kuna uwezekano Washauri aliowatumia Mheshimiwa Mwinyi, Mh. Mkapa, na Mh. Kikwete ndiyo hao anaowatumia Mh. Rais wetu Magufuri?
Na je inapotokea Raisi...
Mheshimiwa Raisi, Katika mwaka Mmoja wako uliopo madarakani kuna baadhi ya mambo inasemekana umekurupuka likiwemo, Kuhamia Dodoma, Kununua Ndege, Uhakiki wa vyeti haya yote yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida?
Tangu Waziri Mkuu amtumbue jipu Dr. pale Ligula Hosptal inaonekana kama hawa madokta wana kamgomo cha chini kwa chini hivyo tukio la kupigwa kwa dr. inawezekana walipishana lugha kati ya ndugu wa mgonjwa na daktari nawasihii madaktari muwe na lugha nzuri.
Mkoa wa Mtwara wilaya ya Newala ndiyo unaongoza kwa mabilionea japo hawapendi sifa kama hao wa Arusha wanaotembea na bastola. Hawa mabilionea wa Newala pesa zao wanafukia mashambani na pia wengi wao hawajui kuandika
Babu njoo huku kusini mwa tanzania ingia vijijini nunua mkaa wa kwenye viroba peleka dar kwenda kuuza inalipa sana ila mwanzo maliasiri watakusumbua ila ukiwazoea hawakunyimi usingizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.