Recent content by Mkorintho 1V

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

    Marehemu Baba yangu aliwahi kuniambia. 1•Siku zote kopesha kile kiwango ambacho uko tayari kukipoteza. 2•Ukitaka kudumisha urafiki kati yako na marafiki zako kamwe usiwakopeshe pesa. Bora umkopeshe pesa mtu asiye rafiki yako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sehemu Tanzania umeme huwa haukatiki?

    Songea umeme haukatiki hata kidogooo. Hakuna mgao kabisaaa. Tunasikia tu kama kuna mgao wa umeme
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natoa siku 3 kuanzia Leo aliyegonga gari yangu eneo la club D Jijini Arusha na kukimbia la sivyo kitakachomkuta tusije kulaumiana

    Mzee wa Gamboshi..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] muweke kijambio kichwani huyo..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

    Usiongee kitu usichokijua. Kawadangaje wenzio huko mtaani sio hapa. Kitambulisho kile alichokua anajigamba nacho na ambacho hicho hicho alishikwa nacho sio cha tiss kile. Ni fake id,fake id,fake id, fake id.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, TACAIDS na NACP wakija kupima Watu UKIMWI Kawe wakitukuta 90% hatujaathirika nao nakata Rufaa upesi sana

    Nimekupenda bure. Sasa tunafanyaje. Na mm ni walewale. Kupima mara kwa mara. Kwanini nisiwe side boy wako mama.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inakosea sana kuwatenganisha Kikazi Wanandoa

    Shukuru Mungu wewe umekutwa - yeye +. Ataishi miaka mingi tu akizingatia dozi. Huenda aliambukizwa muda mrefu kabla haujahamishiwa Dodoma. Kupata ugonjwa huu wala sio ishu. Especially Kwa umri ulioenda kama huo. Watu wamepata ugonjwa wakiwa wadogo sana wengine 18. Dawa mbona akinywa vzr ataishi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

    Pima na ngoma babuuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Niliyoyagundua baada ya kuwatembelea wagonjwa Muhimbili

    Daaah..... Umenitoa machozi....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawapendi kusafiri?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] shangazi aliyemeza panga...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nimedhulumiwa na kampuni ya Sunranch

    We una mambo ya kishamba sana. Hata kama dada yako alikushawishi. Akili za kuambiwa unashindwa kuchanganya na zako???? Ile siku ulivyoleta humu Uzi ulisema Kuna mtu wako wa karibu ulishuhudia akinunua mnyama na kulipwa na hukusema kama dada yako leo umepigwa ndo unakuja kulia lia humu. Watu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dawa nzuri ya kumvuta mke ambae hataki kurudi kwenye ndoa

    Ameshaoata mtu wa kumsugua huko. Unalazimisha nini? Achana nae endelea na maisha yako. Huu sio wakati wa kuwalamba miguu wanawake.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimepotea naona giza kwa hii anasa

    Mtu yeyote ambaye havuti sigara, havuti bangi, hanywi pombe ulevi wao mkuu ni umalaya.. Hahahahha
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bado sijapona kumpoteza mwanamke aliyekuwa akinipenda kwa Dhati,

    Pole sana Kaka. Mungu akutie nguvu na akupinguzie uchungu moyoni. Amen
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

    Brother Jassan Jattin mambo vipi Bepari wa Ukerewe...
Back
Top Bottom