Hivi kuna sehemu Tanzania umeme huwa haukatiki?

Kwa kipindi hiki kuna sehemu hapa Tz umeme huwa haukatiki kabisa au kuna unafuu?

Hili linchi limenishinda tabia hadi huku Moshi unakatikakatika hovyo tu

Hivi kuna sehemu Tanzania umeme huwa haukatiki kabisa?
Iringa ni adimu kukatika umeme, ukikatika baada ya saa mbili unarudi na kuja kukatika hadi week ikatike
 
Kukatika tuliambiwa hadi Marekani unakatika,issue ni mgao wa saa 12 daily.

Au ukatwe saa 1 usiku na urudishwe 4 usiku!
 
Kwa kipindi hiki kuna sehemu hapa Tz umeme huwa haukatiki kabisa au kuna unafuu?

Hili linchi limenishinda tabia hadi huku Moshi unakatikakatika hovyo tu

Hivi kuna sehemu Tanzania umeme huwa haukatiki kabisa?
Songea umeme haukatiki hata kidogooo. Hakuna mgao kabisaaa. Tunasikia tu kama kuna mgao wa umeme
 
Back
Top Bottom