ukweliii mtupu mnaotetea ndo wale mnapigwa hela Alf wahuni tunazila hela zenu kupitia hao mademu mnao wahonga......mnaambiwa ukweliii inabidi mbadilike dunia imechange............Alf waschana taften hela dunia imebadilika so Kama ile ya kula kwa jasho la mwanaume sahv ule kwa jasho lako Mana...
mleta mada acha gere Kama ulipata zero.l class.... pambana vizuriiii usiipate na kitaan...shikilia vizuri uliposhika.......iv ushawahi kuona aliepetaga A kaja kumsema huku aliepataga zero!!? huo ni wivu we pambana na Hali yako
huo ndo mfumo uliopo kichwan mwangu, hasa dunia inavyokwenda kasi. Unajikuta Dume unapigika kwa kila namna mwisho wa siku unagundua unalea watoto so wako. Life limebadikika kila mtu anatamani kua huru kiuhalisia ikiwa hivo ni gud sna hata mm Sina mpango wa kuoa nipo kwenye harakati hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.