Sifa za wanaume waliopanga nyumba za uswahilini

1,Ana wanawake wengi,anawabadilisha kama nguo,bandika bandua

2,Kila akimuingiza mwanamke ndani,anaongeza sauti ya redio (bufa)

3,Anakunja sura kwa wapangaji wenzake,hataki mpangaji amzoeee

4,Wabishi wa kufanya usafi kwenye vyoo vya public,au uwanja

5,Hawataki kufuatilia maisha ya wapangaji wenzake,na hawapendi mpangaji mwenzake amfuatilie

6,wanasalimiana na wanaume wenzie tu wanaokaa nao hapo upangaji,jinsia ya kike hana mda naye

7,Mwanamke akienda kwake ,viatu vya mwanamke vinaingizwa ndani

8,Hataki kumtambulisha mpenzi wake kwa wapangaji wenzake na hataki wazoeane na wapangaji wenzake

9,Wapenzi wao wengi ni wa mbali,mikoani au mitaa ya mbali,Hiece tatu ufike kwake

10,magheto yao ni masafi hatari

NB Wazazi wenye watoto wakubwa kupanga pamoja na bachala,yataka moyo,wataiga mambo maovu,kama vile fasheni ya kubadilisha wanawake
Duh pole cute jamaa amekukula au ndiyo hataki mjuane? naona umeandika kwa uchungu sana kuhusu jamaa
 
1,Ana wanawake wengi,anawabadilisha kama nguo,bandika bandua

2,Kila akimuingiza mwanamke ndani,anaongeza sauti ya redio (bufa)

3,Anakunja sura kwa wapangaji wenzake,hataki mpangaji amzoeee

4,Wabishi wa kufanya usafi kwenye vyoo vya public,au uwanja

5,Hawataki kufuatilia maisha ya wapangaji wenzake,na hawapendi mpangaji mwenzake amfuatilie

6,wanasalimiana na wanaume wenzie tu wanaokaa nao hapo upangaji,jinsia ya kike hana mda naye

7,Mwanamke akienda kwake ,viatu vya mwanamke vinaingizwa ndani

8,Hataki kumtambulisha mpenzi wake kwa wapangaji wenzake na hataki wazoeane na wapangaji wenzake

9,Wapenzi wao wengi ni wa mbali,mikoani au mitaa ya mbali,Hiece tatu ufike kwake

10,magheto yao ni masafi hatari

NB Wazazi wenye watoto wakubwa kupanga pamoja na bachala,yataka moyo,wataiga mambo maovu,kama vile fasheni ya kubadilisha wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeandika kama mke wa mtu uliyeliwa na mpangaji mwenzio ambaye ni bachela na kakupiga chini harafu huna pa kusemea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha, si kweli jamani
 
Juzi nilikuwa kwenye gaduu marian
Nikakuta wake za watu beach wana shangaa shangaa wana sema "wanatamani mwanaume angekuwa nao karibu"

Ilikuwa n fursa nzuri sana kwa mimi wa uswazi,kuchezea kete zangu kwa Ufasahaa
Hapa sipingani na wewe
 
Ni kweli mazoea sipendi mkuu, ata dem mpya akija mazoea na majirani sitaki.
 
Dah yani mule mule wanavyuo waliopanga uswazi ndo sana izo mishe
1,Ana wanawake wengi,anawabadilisha kama nguo,bandika bandua

2,Kila akimuingiza mwanamke ndani,anaongeza sauti ya redio (bufa)

3,Anakunja sura kwa wapangaji wenzake,hataki mpangaji amzoeee

4,Wabishi wa kufanya usafi kwenye vyoo vya public,au uwanja

5,Hawataki kufuatilia maisha ya wapangaji wenzake,na hawapendi mpangaji mwenzake amfuatilie

6,wanasalimiana na wanaume wenzie tu wanaokaa nao hapo upangaji,jinsia ya kike hana mda naye

7,Mwanamke akienda kwake ,viatu vya mwanamke vinaingizwa ndani

8,Hataki kumtambulisha mpenzi wake kwa wapangaji wenzake na hataki wazoeane na wapangaji wenzake

9,Wapenzi wao wengi ni wa mbali,mikoani au mitaa ya mbali,Hiece tatu ufike kwake

10,magheto yao ni masafi hatari

NB Wazazi wenye watoto wakubwa kupanga pamoja na bachala,yataka moyo,wataiga mambo maovu,kama vile fasheni ya kubadilisha wanawake
 
Wakuu nimempa mpangishaji wangu hela kwa ajili ya mkataba Wa miezi sita pasipo kuandikishana kwa sababu huyo mwenye nyumba hakuwepo aliomba nimpe mwanaye aliyemuachia nyumba kwa maelewano angekuja kunipa mkataba akirudi kwa sababu documents zote za mkataba zilikuwa chumbani kwake. Aliporudi kabla hatujasainiana huo mkataba akaniletea shida kidogo tukapishana kauli. Jana akanambia kwanza anaweza kuniruka kwamba simdai chochote kwa sababu hatukuandikishana popote nilipowapa hiyo hela. Akanambia kutokana na hitilafu iliyotokea hawezi kuendelea kuishi na mie pale,Na Mimi sipo tayari kuendelea kuishi pale. Sasa anachodai yeye ni kwamba atanirudishia hela yangu ila atanikata hela ya miezi miwili nlokaa halafu mwisho Wa mwezi niondoke pale kwake na kabla ya kuondoka atakagua nyumba yake ili kujua kama kuna damage nlosababisha japo haipo ila nahisi anataka anikate kwa lazima . Je kuna sheria inayoweza nisaidia au ndo imekula kwangu?
 
1,Ana wanawake wengi,anawabadilisha kama nguo,bandika bandua

2,Kila akimuingiza mwanamke ndani,anaongeza sauti ya redio (bufa)

3,Anakunja sura kwa wapangaji wenzake,hataki mpangaji amzoeee

4,Wabishi wa kufanya usafi kwenye vyoo vya public,au uwanja

5,Hawataki kufuatilia maisha ya wapangaji wenzake,na hawapendi mpangaji mwenzake amfuatilie

6,wanasalimiana na wanaume wenzie tu wanaokaa nao hapo upangaji,jinsia ya kike hana mda naye

7,Mwanamke akienda kwake ,viatu vya mwanamke vinaingizwa ndani

8,Hataki kumtambulisha mpenzi wake kwa wapangaji wenzake na hataki wazoeane na wapangaji wenzake

9,Wapenzi wao wengi ni wa mbali,mikoani au mitaa ya mbali,Hiece tatu ufike kwake

10,magheto yao ni masafi hatari

NB Wazazi wenye watoto wakubwa kupanga pamoja na bachala,yataka moyo,wataiga mambo maovu,kama vile fasheni ya kubadilisha wanawake
Uongo mwingine hata haufai uliwahi kuishi uswhilini wewe? km vile wapi?
naomba kuu;liza unakunywa pombe?
 
Back
Top Bottom