Mbwa jike akiwa Joto huwatafuta wanaume waliko ili wampe fimbo kisha akatulie na Kuzaa.
Anayekufuga amekosaea sana kukuacha peke yako Bila Dume...
Tukutane May tukikamilisha Hili duru.
Fanyeni homework zenu. Kila mtu ashinde match zake, hamna kasi yeyote zaidi ya fixture ilikuwa imekaa vyema kwe u. Sasa mnarudi mlikotoka, mkabanane na Chelsea kule chini
Mzee kwa sasa tumeamua kila mtu ashinde match zake, haya mambo ya dua mbaya kwa mtu tumezifanya kwa zaidi ya miaka 14 na bado hazikuweza kusaidia tupate UBINGWA. CITY Ashinde zake na sisi tushinde zetu, tutaewana mwisho wa Msimu May Huko...
Kuna Maandiko au Post ukizisoma unajua uwezo wa akili y muandishi.
Kwa hili andiko walau umetuambia kuwa una kichwa tu cha mfano lkn ndani kumejazwa matakataka, na kupitia uandishi yametoka Nnje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.