Recent content by mkongwe47

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kweli tutasalimika na kipindupindu

    Hapo mjini kati ,sijui pembezoni mwa jiji hali ikoje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kweli tutasalimika na kipindupindu

    Kwa hali hii tutasalimika na kipindupindu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nionavyo: Azam Energy Drink ina madhara ukiitumia vibaya

    Nilikunywa mara moja nilijisikia vibaya sana moyo ukinienda mbio hiki kinywaji hatari
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katika maisha lilia bahati, Ona vijana wadogo wanavyoongoza makampuni makubwa!

    Tunachofikiria sisi ni msuguano na heshima bar ,hatuwezi kuwafikia hao jamaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nani hasa wenyeji Zanzibar?

    Visiwa hivi havina wenyeji haswa ,wote ni wahamiaji kutoka Asia na Africa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uliza ujibiwe Kisayansi kuhusu viumbe pori

    Kuhusu ndege kasuku kuwa na uwezo wa kunasa sauti ,tupe ufafanuzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO ya sasa na mgao wa umeme tutamkumbuka Muhongo

    Tanesco mwezi wapili sasa nimelipia luku naambiwa hawana mzigo dsm yote.je kweli watu hawa wako makini kibiashara
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauli za treni ya Deluxe kuanzia Aprili 01, 2015 Dar-Kigoma/Mwanza

    Saa ngapi kufika KGM?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tazama mpangilio wa ovyo wa jiji la Dar

    Mie huwa napata aibu ya hali ya juu nikishuka anga kuingia dsm maana wakati huo wageni wote huwa wanachungulia madirishani kupata picha ya wanapoenda mara kitunda hiyo buguruni, jamani aibu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kama huna hela kuishi jijini Dar es Salaam ni kuutaka ukichaa kwa makusudi

    Maisha ya dar magumu mno mulioko mikoani kama mnajimudu kidogo msithubutu kuja mtahuzunika .60/ ya wakazi wa dar hawana uhakika hata pa kulala vizuri na kula yao ya tabu sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dar Taabani kwa Foleni! Kuinusuru, Wengine wawe Deported, Vi Porte Vipigwe Marufuku Mjini!

    Jana nimeondoka k,koo saa 17:30 nimefika k,ndoni saa 20:15 ni shidaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Lounge in Guangzhou, China

    Bomba sana nilikuwepo week iliyopita pametulia sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Uchina si chochote katika maswala ya Computer, ukubwa wa Bure!

    Huawei na ZTE .unazifahamu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, tIGO mtatukosa wengi

    Internet yao iko taratibu sana hata mimi huenda nikaikimbia mda si mrefu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kigodoro-kantangaze

    Uhalisia kabisa ndivyo dar (uswahilini wanavyoshindana)
Back
Top Bottom