Tazama mpangilio wa ovyo wa jiji la Dar

Tazama mpangilio wa ovyo wa jiji la Dar

Mkuu mleta mada with due respect naomba rekebisha maneno yako ya kusema nyumba za Dar ni vibanda vya Mbwa nyumba zetu zivunjwe na tusilipwe fidia! sisi tunaoishi humu siyo mbwa tafadhali ni binadamu tena tunajitambua ni wastaarabu hatupendi kutukana. Hao NHC unaotaka wapewe hiyo kazi walikwishwa pewa toka miaka ya 1965 Ndiyo wakajenga hivyo vibanda vya mbwa Magomeni,Ilala na Temeke.
 
Faida foxy hiyo link ina story za 2011. Mabadiliko unayoyasema ni tone dogo sana.

Tunahitaji radical changes sasa kuliko baadae

Leo kuna nyuzi humuhumu imeanzisshwa kuna mchungaji anatafutwa.

Haijalishi ni lini stori lakini ijulikane kuwa kanisa lina mkono katika mauaji ya Albino Tanzania hii. Kumbuka hilo.
 
Umetawaza leo? Inaonekana yale maji mnayotawazia msikitini yanakuchanganya eeh, Takbiir allahkabar, hahah
 
Dar kwa mara ya kwanza tumeona mabadiliko ya jiji wakati wa Kikwete. Juzi nimesikia hata tabata linamwagwa lami na barabara imepanuliwa. Hapa sasa!

Madam unakaa Dar au uko Mombasa?

Vitu vingine havihitaji degree kuona, hapa topic sio barabara za lami, ni mipango miji. Hakuna tofauti kati ya 2005 na hivi sasa, Manzese, Tandale, Keko etc, hakuna mabadiliko yeyote
 
Mie huwa napata aibu ya hali ya juu nikishuka anga kuingia dsm maana wakati huo wageni wote huwa wanachungulia madirishani kupata picha ya wanapoenda mara kitunda hiyo buguruni, jamani aibu!
 
Madam unakaa Dar au uko Mombasa?

Vitu vingine havihitaji degree kuona, hapa topic sio barabara za lami, ni mipango miji. Hakuna tofauti kati ya 2005 na hivi sasa, Manzese, Tandale, Keko etc, hakuna mabadiliko yeyote

Manzese ya leo ndiyo ya 2005?

Ukipitia nyuzi nimekuewekea link ya ramani iliyopitishwa na jiji na inatimizwa kidogo kidogo kutokana na uhaba wetu wa fedha, nadhani kama upo Dar unaelewa jinsi Manzese palivyobadilika.

Na bado kazi inaendelea kila kukisha kila sehemu ya Dar, usifikiri serikali wameshaanza kuingiza fedha za Gas kuwa unafedha za leo kubomoa nyumba elfu ukawalipa wote na ukafanya maboresho, hapana kijana tunajikuna tunapofikia na kwa watu wa Dar tunaona mabadiliko kila upande wa Dar. Labda uwe kipofu ndiyo hutoyaona na uwe kiziwi ndiyo hutasikia.
 
Aliekosea ni Nyerere na wapanga miji wake. Hawakuamini kuwa Dar ingekuja kuwa kubwa. Yeye alikuwa akiisifia tu Nairobi kuwa ndo Ulaya ya Afrika
 
Manzese ya leo ndiyo ya 2005?

Ukipitia nyuzi nimekuewekea link ya ramani iliyopitishwa na jiji na inatimizwa kidogo kidogo kutokana na uhaba wetu wa fedha, nadhani kama upo Dar unaelewa jinsi Manzese palivyobadilika.

Na bado kazi inaendelea kila kukisha kila sehemu ya Dar, usifikiri serikali wameshaanza kuingiza fedha za Gas kuwa unafedha za leo kubomoa nyumba elfu ukawalipa wote na ukafanya maboresho, hapana kijana tunajikuna tunapofikia na kwa watu wa Dar tunaona mabadiliko kila upande wa Dar. Labda uwe kipofu ndiyo hutoyaona na uwe kiziwi ndiyo hutasikia.

Madam,

Nimekulia Mabibo na Magomeni, I can assure you kilichobalikia ni hii barabara ya lami kutoka Tip top mpaka mpakani na hii ya kutoka Tandale mpaka Manzese. Zaidi ya hapo kilichoboreka ni Frame tu za walio karibu na barabara, makazi bado ni yale yale na mipango ni ile ile.

Huwezi kupitisha ambulance wala fire engine, nimeishi Mabibo for 20 yrs now, I can tell you hakuna kilichofanyika kuhusu kuboresha mipango miji, labda barabara tu.
 
Uko hapa hapa Dar? hivi haujaona mji unavypbadilika sura toka kaingia Kikwete? hivi hujamsikia hotuba yale aliyosema kuwa mji unabadilishwa? hivi huwa hamna macho au mnayo lakini hayaoni?

Mambo yameanza na plan ilizunduliwa, moja wapo hii hapa: WELCOME TO THE PRIDE OF TANZANIA BLOG. prideoftanzania@gmail.com: DAR ES SALAAM NEW CITY PARKS MASTER PLAN UNVEILED

Hivi Kikwete unamkubali sana eh
 
Madam,

Nimekulia Mabibo na Magomeni, I can assure you kilichobalikia ni hii barabara ya lami kutoka Tip top mpaka mpakani na hii ya kutoka Tandale mpaka Manzese. Zaidi ya hapo kilichoboreka ni Frame tu za walio karibu na barabara, makazi bado ni yale yale na mipango ni ile ile.

Huwezi kupitisha ambulance wala fire engine, nimeishi Mabibo for 20 yrs now, I can tell you hakuna kilichofanyika kuhusu kuboresha mipango miji, labda barabara tu.
Huo ndio ukweli. Waseme wasemavyo lakini Dar mipango miji ni -99%
Hivi hawaoni huko kwa wenzetu??
 
Madam,

Nimekulia Mabibo na Magomeni, I can assure you kilichobalikia ni hii barabara ya lami kutoka Tip top mpaka mpakani na hii ya kutoka Tandale mpaka Manzese. Zaidi ya hapo kilichoboreka ni Frame tu za walio karibu na barabara, makazi bado ni yale yale na mipango ni ile ile.

Huwezi kupitisha ambulance wala fire engine, nimeishi Mabibo for 20 yrs now, I can tell you hakuna kilichofanyika kuhusu kuboresha mipango miji, labda barabara tu.

Hapo nilipokuwekea nyekundu sijakuelewa una maanisha nini. Kwanza nifahamishe nikuelewe halafu nikujibu.
 
Manzese ya leo ndiyo ya 2005?

Ukipitia nyuzi nimekuewekea link ya ramani iliyopitishwa na jiji na inatimizwa kidogo kidogo kutokana na uhaba wetu wa fedha, nadhani kama upo Dar unaelewa jinsi Manzese palivyobadilika.

Na bado kazi inaendelea kila kukisha kila sehemu ya Dar, usifikiri serikali wameshaanza kuingiza fedha za Gas kuwa unafedha za leo kubomoa nyumba elfu ukawalipa wote na ukafanya maboresho, hapana kijana tunajikuna tunapofikia na kwa watu wa Dar tunaona mabadiliko kila upande wa Dar. Labda uwe kipofu ndiyo hutoyaona na uwe kiziwi ndiyo hutasikia.

Si nia yangu kubishana nawe ila naomba nikushauri pamoja na wenzio huko juu. Inaweza kuwa kweli mna mipango mingi na mizuri ila fedha ndio tatizo ili kuboresha sehemu kama Manzese.

Kwetu sisi itakuwa rahisi zaidi kuamini maneno yenu pale tutakapoona juhudi katika kuzuia Manzese mpya zisijengwe, au hujui maeneo yote mapya ya mji ni Manzese mpya?

Au nazo mtakuja kuzitafutia pesa kwa ajili ya kubomoa na kufidia?
 
MY GOD! Hivi hizo bei ni hapa bongo hii au naota???!!!!!! msaada tafadhali..

Hiyo ndiyo reality ya NHC unaotaka wapewe ardhi kwa kupora wananchi na kuendeleza,sasa hivi ni estate agent in a commercial way sio waliojenga Magomeni,ilala na Temeke kwenye vibanda vya Mbwa.
 
Hapo nilipokuwekea nyekundu sijakuelewa una maanisha nini. Kwanza nifahamishe nikuelewe halafu nikujibu.

Tatizo lako lingine ndio hili...

Unajifanya hujaelewa post nzima kisa tu kuna typo moja. Kama hujaelewa mantiki yangu kwa sababu nimekosea neno moja basi acha kunijibu.
 
Back
Top Bottom