Nani hasa wenyeji Zanzibar?

Nani hasa wenyeji Zanzibar?

Sasa kama walifika wa kwanza, okawaje wakaitwa wakoloni?

Hujasoma vizuri majibu yangu, watu wa asili ya visiwani walikuwepo. Ni wahadimu na watumbatu, waarabu waliwakuta hawa Zanzibar...
 
Sawa. Hawa wa wahadimu na Watumbatu ni watu kutoka maeneo gani?
 
Maeneo ya Unguja, Watumbatu asili yao ni kisiwa cha Tumbatu na wanapatikana maeneo ya kaskazini ya Unguja, na wahadimu wao ni wa maeneo ya kusini ya Unguja.
 
wewe kweli mbumbumbu wa historia! Kama wenyeji walikuwa ni waarabu, ikawaje waarabu waitwe wakoloni huko zanzibar!
mmh Ahsante kwa Umbmbu wangu!! Leo ndo tunaona UKOLONI wa MTU MWEUSI juu ya nduguye MWEUSI kwa macho yetu!! (nikutaiie mifano, akinanani?)

Zanzibar ni jina la KIARAABU na utamaduni uliyopo ni wa KIARAABU, Lugha izungumzayo ni KIARAABU, majina ya watu niya KIARAABU, mavazi ni ya KIARAABU, CIVILIZATION enedelevu ni ya KIARAABU, Majengo na ujenzi ni wa KIARAABU.... na ukiwauliza wakazi wote, wanaSiasa na wazaawa wote "Mnaegemea/Mnajinasibu na wapi " Mungu tena watasema UARAABU !!!!!
Luqash na wote.....mnaobisha!!
 
Last edited by a moderator:

Luqash na wote.....mnaobisha!
 
Hapa sio suala la ubishi, umeshafika Zanzibar? Zanzibar lugha inayotumiwa ni kiswahili si kiarabu! Kama ni jina, hata Dar es salaam ni jina la Kiarabu, majengo hata Bagamoyo, Kilwa na Pangani ya kiarabu. Mavazi, utamaduni etc mwambao wote wa Afrika Mashariki ni kiarabu. Get your facts straight!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom