Tanesco ni maumivu.
Ninavyofahamu mimi mteja wa Tanesco akishafungiwa mita na sili(seal) yake inafungwa siku hiyo hiyo. Mhasibu huwa anatoa sili kwa wafungaji mita. Matokea hazifungwi hizo seal ingawa mita zimefungwa. Unit za mwanzo zinazokuja na mita zikiisha kwa kununua umeme haiwezekani kwa...
Kwa hiyo unamanisha mwanasiasa tu ndo anahaki ya kuzungumzia siasa. Basi isingefundishwa mashuleni. Je watu wa fani zingine hawastahili kuzungumzia siasa? Maana tuna wahandisi, wachumi, madaktari n.k je unasemaje juu ya hilo?
Je kiongozi wa dini hana haki ya kujadili mustakabali wa nchi yake? Au yeye amepoteza sifa hiyo baada ya kuwa kiongozi wa dini na Utanzania ameupoteza?
Katiba si ya mwanasiasa ila inamhusu kila mwananchi kwa sababu ni haki yake. Awe mtumishi wa Mungu ,mwalimu,daktari au nafasi yeyote ile katiba ni muhimu kwake
Upinzani upo ndani ya mioyo ya watu na usitegemee kwa waliofukuzwa uawanachama basi chama kitakufa. Wakati mwl. Nyerere akiwa Rais wa nchi kuna watu kama wewe walitamka hakuna wa kumrithi awe Rais. Lakini nchi inaendelea kusonga mbele. Viongozi sio wanaubemba upinzani ila wanachama na...
Kutowaapisha mawakala si tatizo dogo kama unavyofikiria hii itafanya baadhi ya vituo vya kupigia na kuhesabia kura kukosa wakilishi wa kudhibiti kura. Chochote kinaweza kutokea kwa hujuma za kura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.