Recent content by Mkondo wa Nungwi

  1. M

    Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Hawa ndio wasomi wetu wa çhuo kikuu wakipata elimu busara na hekima zinawatoka kabisa.
  2. M

    Tanzania new war for national cake

    What we need is love to guide and protect our son.... only riziwan kikwete on 2025
  3. M

    Kwanini Karume isijengwe mall ya gorofa 3/4 ya machinga kama Kenya/Uganda?

    Afrika wamefumbwa macho na world power hata kama wanania nzuri ya kufanya haiwezekani
  4. M

    Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Mbona maelezo machache hii ni mara yako ya kwanza kufanya biashara na una muda gani hapo
  5. M

    Msaada: Anafahamu tatizo hili.

    Mode pelekeni jamii health
  6. M

    Soko la Karume limeungua moto

    Awamu ya kupiga hela hii ya waswahili
  7. M

    Uwezo wa maji ya baraka kupambana na nguvu za giza

    Tia chumvi hayo maji jipake na unyunyize kwenye nyumba
  8. M

    Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

    Ndio ujitahidi mkuu kunywa maji na fanya mwenyewe juice ya matunda nyumbani
  9. M

    Soda za twist za ovyo sana, sitakunywa tena. Wametoa chupa ambayo haisimami kwenye meza

    Nilikunywa kokakola ndogo tangu 2016 hizi kemikali napita mbali
  10. M

    Ni sawa mzazi wa kiume kumtupia lawama mzazi mwenzake wa kike pale mtoto wao anapokuwa na tabia mbaya?

    Sijakufahamu haitoeleweka umekusudia nini lakin nakwambia iyo pesa ndugu zako 3 watapewa au washapewa kimya kimya
  11. M

    Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    Kumpenda mtu kwa maneno au hadithi tamu au copy and paste duh kazi kweli kweli Mimi introvent nimejificha hapa nyuma ya keybod najisomea koment na kucheka tu sijui mwaka gani nitaandika mada nipendwe.
  12. M

    Wapambanaji tukutane hapa

    Hakuna mganga anaeweza kukupa utajiri ikiwa ni mafanikio unayo mwenyewe ikiwa ni nuksi unazo mwenyewe jitafute kujieka sawa
  13. M

    Ni sawa mzazi wa kiume kumtupia lawama mzazi mwenzake wa kike pale mtoto wao anapokuwa na tabia mbaya?

    Mkuu naamini katika familia wewe ndie umekua kipenzi cha wazee wako usishangae hapo hao wengine wakapewa mgao kimya kimya wewe ukaachwa
  14. M

    Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Muuacheni mama yenu ale raha ya nafsi majumba magari yote atawaachia muda si mrefu
Back
Top Bottom