Recent content by mkomile

  1. M

    Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Utamjibu hivyo tu,maana hamna namna nyingine sasa [MENTION=195710]TEKNOLOJIA
  2. M

    Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Mmepewa assignment ya group,siku ya Presentation umesogea mbele ili uliwakilishe group Lecturer anauliza Umekuja kupresent?....Hapana nimekuja kucheza mziki wa Awilo
  3. M

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu Princemrishocom nimeulizia kioo cha Tab 3 7.0’ hapo
  4. M

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu Kiparaakp una kioo cha samsung galaxy tab 3 7.0’ ???
  5. M

    Unamshauri nini Aunt Ezekiel kuhusu ugomvi na Wema?

    Kama aliweza Petit-Man kuwa na dada wa Diamond huku akiwa na uhusiano mzuri tu na Wema kwanini ashindwe Aunt? Issue ni trust na kutopelekwa au kujiingiza katika migogoro isiyo na kichwa wala miguu kwa lengo la kuunufaisha upande mmoja
  6. M

    Msaada wa kudownload video's instagram

    URL unaipata hapo kwenye three dots nilipozungushia duara jeusi
  7. M

    Msaada wa kudownload video's instagram

    Download app iitwayo INSTA SAVE,ukiwa na hiyo kila post utakayolike kupitia app hyo utaikuta moja kwa moja katika gallery yako
  8. M

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Niliyemquote mwanzo hakusema hayo,alisema kuna course lazima usome,kama wansheria wanavyoenda school of law
  9. M

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    Ili usajiliwe kuwa Engineer “Registered Engineer” lazima uende course gani? Na umesema ukienda hiyo course ndo unakuwa “Mhandisi Majengo”,so hata electrical au mechanical Engineer nae ataitwa Mhandisi majengo? Naomba ufafanuzi,unless tengua kauli
  10. M

    Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Tatizo lako huelewi,kamwambie padri wako alokulisha sumu hiviiiii,kadhi wanaomdai waislam wa Tanzania hatoshughulikia amambo hayo kwa sababu waislam ni waelewa sana na wanajua hii ni nchi na ina sheria zake.
  11. M

    Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Kama jina lako lilivyo Kituko na ni kituko kweli,Unachekesha...kumbe unaijua profile yangu zaidi ya nnavyojijua?,hongera....
  12. M

    Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Sikulaumu,baada ya kuja kuropoka hapa ungeanza kuuliza kwanza... Hebu FaizaFoxy msaidie kumuelewesha huyu,anaogopa Kadhi atakata watu mikono.
  13. M

    Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Kituko aliyesema Kadhi atakata mtu mkono ni nani?
  14. M

    Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Usibishane na watu wasioelewa hao dada angu FaizaFoxy mwishowe watasema hata vikundi maalum kama maalbino nao wasidai haki zao kisa?,inawabagua wao tu. Wafanyabiashara ni watu wachache sana katika nchi hii tena wana pesa za kutosha,lakini serikali inagharamia mahakama yao na ina legal power...
Back
Top Bottom