Sasa tume huru itaniletea elimu, itaniletea chakula kwangu, italeta technologies nchini, italeta itajenga miundombinu mizuli, italeta madawa ya kilimo kwa wananchi, naungana na mchangiaji kua cha msingi ni dhamira ya kweli kwa uongozi uliopo sehem husika sio katiba wala demokrasia, wengi...