Dah! Wabongo wamepiga 194 billions kwa utafiti hewa kwenye shirika la reli

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Hizo hela ndefu, haswa kwa nchi ambayo bado ni LDC, mtaisha jameni...... Bora kwetu mijitu inakamua nchi lakini kidogo tunabaki hai.
Yaani Watanzania ni mfupa uliomshinda fisi, pamoja na makelele yote ya Magufuli bado mnapiga hela ndefu kiasi hiki.
---------------------------------
Dar es Salaam. A total of Sh194 billion, which was supposed to be debited to Railway Assets Corporation (Rahco) from Tanzania Revenue Authority (TRA), has gone missing.

This is according to the audit report for the year 2016/17 handed to President John Magufuli on Tuesday by the Controller and Auditor General (CAG), Prof Musa Assad.

Sh94 billion goes missing from Taxman’s books, CAG reveals
 
Nipesa ndefu iyo yafaa waseme walipoipeleka,Haiwezekani watu tunabanwa namna hii maofisini kumbe wengine hula kuku kwa mrija...mishahara yenyewe midogo tu mazingira ya kazi bado sio poa...aaagh
 
On the heading, it is 94, but in the content/ body, it is 194. which is the correct figure? That is not a wonder since recently TRL purchased locomotives from the invisible/ unknown supplier. In a similar vein, that money is not missing, the invisible have it.

In short, in Tanzania nowadays, we live with the invisible people, not ghosts.
 
Hii miradi ya standard gauge railway itatugharimu sana.
Waziri makame Mbarawa ajibu hizi tuhuma hizi pesa zipo wapi. Haiwezekani kuona fedha za walipa kodi zikipotea.
 
This is 2017/2018 not 2016/2017 Again we don't have Rahco we have TRC.. This news seem outdated
You are wrong on both counts....

Nipesa ndefu iyo yafaa waseme walipoipeleka,Haiwezekani watu tunabanwa namna hii maofisini kumbe wengine hula kuku kwa mrija...mishahara yenyewe midogo tu mazingira ya kazi bado sio poa...aaagh

On the heading, it is 94, but in the content/ body, it is 194. which is the correct figure? That is not a wonder since recently TRL purchased locomotives from the invisible/ unknown supplier. In a similar vein, that money is not missing, the invisible have it.

In short, in Tanzania nowadays, we live with the invisible people, not ghosts.
 
This is 2017/2018 not 2016/2017 Again we don't have Rahco we have TRC.. This news seem outdated

Umeangalia kwanza mwaka uliokuwa covered kwenye hiyo report? Halafu, umefungua source ya taarifa kuangalia tarehe yake?
Kama tuna TRC, TRL ni nini?

[HASHTAG]#mk254[/HASHTAG]
 
Ripoti ya CAG ya mwaka 2016/2017 Tayari ilishatolewa, hii ni ya mwaka wa fedha wa Serikali ulioanza July 2017 na kuisha June 2018.. Ndio maana inawekwa 2017/2018..

Vile Vile hakuna tena TRL wala RAHCO sasa hivi kuna Shirika moja tu la reli linaitwa TRC Basi..
 
Poleni sana wabongo kwa masaibu ya ''hapa kazi tu'' wakati hiyo kazi haionekani.
 
Lack of Information and acknowledge makes even fools think they know things,
Try to know the facts to overcome your feelings, this will save you from exposing your deep levels of ignorance.
 
But that does not negate the fact that funds were misappropriated whether under whichever acronym that fancies your pique. Kumpaka fisi rangi na kumwita mbwa ni ulaghai!
Do you think the fund will never get back to the government?? Whoever did it will have to pay back.. Kwa kuanza tu viongozi wawili wameachishwa kazi ili kupisha uchunguzi na wakibainika watafikishwa mahakamani ili kuzilipa au waozee jela..
Unafkiri magufuli ni UHURU..
 
Back
Top Bottom